Yeye ndie jana kacheza vizuri, kaokoa magoli zaidi ya tatu. Wengine wote jana walikuwa maboga yaliyolalauyo kipa ni kimeo acheni kumtetea footwork hana makosa kibao leo baada ya kufungwa akafanya kosa kama lile alilofanya dhidi ya arsenal anampasia mtu wa timu pinzani icho kitu hata onana hawezi fanya
Pochettino : “I am not disappointed because I think they gave everything." (@NizaarKinsella) #CFC
Mnaoendelea kumtetea huyu mpuuzi endeeleeni kumtetea tu hapa hakuna kocha
Kwa performance ile unasema hivyo
Bado kuna fans hapa wanapeleka malalamiko kwa wachezaji. Wachezaji hawana makosa yeyote. Kama kuna shabili asiyejua, mchezaji anatekeleza maelekezo ya kocha na wasaidizi wake uwanjani.Ukishakuwa na kocha loser tegemea hivi vitu.
Mim niliyeko huku naona kabisa makosa yale yale yanajirudia kila game
Yule muargentina yeye haoni??
Hakuna kocha pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado hamjasema.hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Natamani nione combination ya Caicedo na Enzo wakianza pamoja
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kuna uchawi hpa duniani....yaani pamoja na ubovu kwlikwli wa Manunu eti wamepitwa point 3 na City🤠🤠🤠[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado hamjasema.
Ila Chelsea nyinyi ni ndugu zetu wa damu kabisa, ukiangalia hata Head to head hatujayofautiana. hamis77 ukuje hapa utie neno, wewe ndio uliowaaminisha hawa ndugu zetu kua walau wao mpira wao unaonekana kuliko nyumbu na ukawapea nafasi ya juu kwenye top 10 ukiwaweka juu ya nyumbu, vipi bado unasimamia kauli yako au ndio mambo yaleyale ya kusambaza false hopes tu mpaka kwa hawa ndugu zetu marass? View attachment 2835417
One thing about life, usiwahi dharau man uKuna uchawi hpa duniani....yaani pamoja na ubovu kwlikwli wa Manunu eti wamepitwa point 3 na City🤠🤠🤠
Gallagher kwa tuliowahi kukusema vibaya au kutotambua mchango wako tunaomba utusamehe. Game ya leo pengo lako dhahiri linaonekana
View attachment 2835163
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna uchawi hpa duniani....yaani pamoja na ubovu kwlikwli wa Manunu eti wamepitwa point 3 na City[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kipa uki mfuata TU anapiga pasi mkaa ni vichekesho kabisa ,tuache masikhara twende ac Milan tuchukue kipahili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Akichunguzwa huyu anakulaga bangi au madawa kabiusa. Mechi ya juana inatapisha halafu yeye anasema wache4zaji walicheza vizuri. Huyo anatafuta kufukuzwa
Nyny ni gari la mkaa...mpk mtakapowauza kina Rashidi Makame na Martial mkaleta watu wa kazi ndo mtaacha kudharaulika...vngnevyo mechi 2 zijazo mnadundwa tenaOne thing about life, usiwahi dharau man u
Narudia tena matatizo ni mengi tunayo.Nyny ni gari la mkaa...mpk mtakapowauza kina Rashidi Makame na Martial mkaleta watu wa kazi ndo mtaacha kudharaulika...vngnevyo mechi 2 zijazo mnadundwa tena