Akirudi Nkunku Chelsea itakuwa ya motoNatamani nione combination ya Caicedo na Enzo wakianza pamoja
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Sanchez kajitahidi. Katiak wachezaji wa Chelsea waliojitahidi leo mojawapo ni Sachez. Too bad kwamba hatuna kocha palehili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
uyo kipa ni kimeo acheni kumtetea footwork hana makosa kibao leo baada ya kufungwa akafanya kosa kama lile alilofanya dhidi ya arsenal anampasia mtu wa timu pinzani icho kitu hata onana hawezi fanyaSanchez kajitahidi. Katiak wachezaji wa Chelsea waliojitahidi leo mojawapo ni Sachez. Too bad kwamba hatuna kocha pale
Kwamba Nkunku ndo atabadilisha nini? Chelsea hatuna kocha, wachezaji hawawezi kufanya makosa Yale Yale na wewe upo tu kama sanamu..
Mpaka mseme 😂😂😂Chelsea tumeanzisha kampeni yetu ya KIMBIZA MWIZI ambayo inakwenda kuanza leo 6 Desemba kwenye mechi dhidi ya Red devil wa mchongo kila anayekuja mbele yetu sisi tunalala nae hata kama ana ukimwi.
Matokeo ni mawili tuu Chelsea kushinda au mpinzani kushindwa.
Bado hamjasema 😂😂😂hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Nenda wewe ukawe aggressive brotherBack pasess ,wachezaji hawako aggressive na umakini na ubunifu zero
hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Chelsea tumeanzisha kampeni yetu ya KIMBIZA MWIZI ambayo inakwenda kuanza leo 6 Desemba kwenye mechi dhidi ya Red devil wa mchongo kila anayekuja mbele yetu sisi tunalala nae hata kama ana ukimwi.
Matokeo ni mawili tuu Chelsea kushinda au mpinzani kushindwa.
Kazi imemshinda mapema sana yani kupata point 3 kwa timu dhaifu imekuwa shida kwake hawezi kuipeleka chelsea popote huyuMauricio Pochettino: “They deserved the victory. They had more energy than us, maybe we were affected because we played Sunday with one less”
Hivi huyu mpuuzi angetukuta tunacheza uefa ingekuweje
Nitaendelea kusema hapa hakuna kocha