Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
Mkuu nilikwambia Lkn tangu juzi na Jana! Sio km Lazima tuongee Kwasababu tumeshinda!
Sisi kauli mbiu yetu ya Jana ilikua "WE LOVE THE BIG GAME"
Tunamtaka huyo tunywe supu yke
sasa mkuu wewe mshabiki wa chelsea inawezekanaje usiipe nafasi ya kushinda timu yako hata mimi man u niliipa nafasi ilivyokuwainacheza na chelsea na kulala jana sikutegemea kama kuna mshabiki wa chelsea ambae hakuwa ameipa nafasi timu yake hata ikicheza na bayern
Mourinho anajua la kufanya; itafaa kama gemu ijayo Andre Schurrle na Mo Salah wakicheza na Oscar ili Willian na Hazard wakae benchi kidogo ili kuwa fiti kwa ajili ya kuikabili City kwenye FA.
Jose Mourinho,Jose Mourinho, Jose Mourinho
Jose Mourinho,Jose Mourinho, Jose Mourinho
Jose Mourinho,Jose Mourinho, Jose Mourinho
Fantastic Chelsea!
KTBFFH
COYB
haya hongereni bana mi sina usemi nimenyamaza sasa nalia tu na moyes wangu
Sisi hua hatuongei sana....:ranger: