Hivi Westham mnaichuliaje? West ham ni team ngumu sana kucheza nayo Arsenal imeshindwa kuchukua ubingwa baada ya kuharibiwa na Westham nashangaa mnavyokuwa na mihemko ya kijinga kwa game 1 tu.Pochettino ni kocha mzuri sana anahitaji muda kujenga team huwezi kumpima kwa game hii tu au umlaumu Caicedo wakati hajacheza hata game 1 tu ya preseasonUkweli ni huu, hata kama Chelsea haitatupa matokeo tuliyotazamia ila Pochettino hatakuwa kama Potter wa "The lads gave it everything, ..."
Nimemcheki ni kipa mzuri sana huyu Ndio kipa anaenda kuwa no 1Here we go!
Ni kweli sasa Djordje Petrović atasaini mkataba Jumatano kama mchezaji mpya wa Chelsea - itakuwa ni mkataba wa miaka 7 hadi 2030 🔵
Nimeambiwa itajumuisha chaguo la mwaka mmoja zaidi hadi 2031.
Ada kamili ya $17.5m pamoja na nyongeza za $2.2m kwa timu ya New England Revolution
-Fabrizio Romano
View: https://youtu.be/csE-nux29w0
View attachment 2724737
Ujui mpira kijanaKenge FC ukweli ni kwamba ligi inazidi kuwa ngumu
Jana Crysta palace ilibaki kidogo atuvunjie heshima
Kiutu uzima tukaamua game
Mnahitaji muda wa kujenga timu, usajiri Jambo moja timu kuunda chemistry Jambo lingine. Mmesikia nyie KENGE
swali ni hili hapa pochetino aliefeli psg ile yenye kila kitu
Ndio pochetino huyo huyo inabidi atuoneshe ubora wa mudryk, caicedo, Sterling, Enzo, fofana, Hadi cucurela
Mtagundua kuwa ni swala la muda tu for things to fall apart
Yah sababu ndio makombe Yao hayo 🤣🤣🤣🤣🤣
Wafuata upepo FCChelsea mnanini lakini? 😂😂😂
Chelsea mnanini lakini? 😂😂😂
Kuna watu wa aina tatu dunianiWafuata upepo FC
Gundu FC Kila chezaji wanalonyapia nyuma nyuma linaenda kuflop
Ndio mana Caicedo nae akaflop😂😂Wafuata upepo FC
Gundu FC Kila chezaji wanalonyapia nyuma nyuma linaenda kuflop
Aflop mara ngapi MkuuNdio mana Caicedo nae akaflop😂😂
Hakuna kitu tutafurahi sisi liva kama Caicedo kuflop, tutafanya sherehe. Haiwezekani mchezaji atukatae wazi wazi.
Kwa hiyo tusheherekee Caicedo kaflop cyo? tumuombee na mechi ijayo aendelee kutoa penalt, aendelee kuflopAmekuja kuwaongezea gundu
Kwani mlidhamiria kumnunua kweli Caicedo au FSG walikuwa wanataka PR ili wajulikane wapo na wanakuja UK??Aflop mara ngapi Mkuu
Amekuja kuwaongezea gundu
Chelsea wangekaa kimya mngetoa hizo pesa mil 111. Mngezitoa wapi? FSG hawana pesa wanasubiri Liverpool irudi UCL ili waweze angalau kununua wachezaji kwa 2024/25.Aflop mara ngapi Mkuu
Amekuja kuwaongezea gundu
Si mnatuita Kenge ,sasa tunawaonyesha jeuri ya pesa , hata wewe na familia yako tunakusajiriChelsea mnanini lakini? 😂😂😂