Kwa bei gani?Ziyech anafanya medical Uturuki anahamia Galatasaray
Maatsen hata uzwa bali atapelekwa kwa mkopo au atabakia kwasababu kocha anamkubaliKuna uwezekano mkubwa ahwa hatutakuwa nao msimu huu kabla dirisha halijafungwa watakuwa wameuzwa au mkpo
- Gallagher - Atauzwa dirisha hili
- Chalobah - Atauzwa dirisha hili
- Maatsen - Atauzwa dirisha hili
- Hudson-Odoi - Atauzwa dirisha hili
- Lukaku - Atauzwa dirisha hili
- Chukwuemeka - Atapelekwa mkopo dirisha hili
- Lesley - Atapelekwa mkopo dirisha hili
Wamesema wanamuuza yeye na Gallagher ili ku raise fund za kuepuka panga la FFPMaatsen hata uzwa bali atapelekwa kwa mkopo au atabakia kwasababu kocha anamkubali
Pesa ipo kweli na si utaniChelsea ina pesa za kutupa, wanataka wamuuze Lewis Hall kwa pauni Β£30m halafu baada ya muda mfupi ujao warudi kuja kumgombania kumnunua kwa pauni Β£100
Mkuu taarifa hizo n i za uongo, kule kule Uturuki wamekanusha. Ziyech amepasi vipimo vyakeHakim Ziyech amefail vipimo kwa Mara nyingine tena ya kujiunga na Galatasaray ya Uturuki.Hivi Ziyech ana gundu la aina gani au Mungu kampangia destination yake iwe Chelsea?
Msaliomie Endo kwa Kijapan au Wataru kwa KikuriaNyie matakataka akina OllaChuga Oc
Mmejiandaaje kupoteana msimu huu?
Vipi matusi kwa tajiri,yapo ya kutosha?
ππππMsaliomie Endo kwa Kijapan au Wataru kwa Kikuria
Inabidi ifike ngapi Ndio itakuwa imevunja FFPchelsea inaweza kuendelea kusajiri ndo kwanza imetumia 58