Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Nyie chelshit mmekutana na kiwete mwenzenu Liverpool mkatoa sare mkaona mkajiona mko vizuri eti?
Hiyo mechi ya Jana mlitakiwa mshinde Tena kwa zaidi ya magoli 2.Shida zenu za last season bado ziko pale pale acheni kujidanganya eti mna kikosi kizuri.
Mkikutana na hizi timu hapa chini hakuna alama mtakayopata
[emoji116][emoji116][emoji116]
Arsenal
Manchester City
Manchester Utd
Newcastle
Brighton
Brentford
Kula chuma hichoKwani alikua hajasajiliwa kumbe mlikua mnadanganya hahaha mtambulisheni basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AsiuzweGallagher auzwe asiuzwe?
View attachment 2717298
Gallagher auzwe asiuzwe?
View attachment 2717298
AbakiGallagher auzwe asiuzwe?
View attachment 2717298
Msisahau tumeuza sana pia wachezaji msimu huu ,nadhani Chelsea ndio timu iliyoingiza pesa ndefu kwenye kuuza wachezaji msimu huu kati ya ligi zote kubwa ulaya , na hapo bado kuna viporo hatuja maliza na navyo , kama Challobah , Odoi ,Ziyech ,Lukaku .
Watapush Sana top 4, Kama Jana Liverpool ambaye anajinasibu title Contender kawa outplayed vile ,bas ongezeko la Lavia,caicedo plus Enzo , wataokota points nyingi kwa mid table teamEnzo, Caicedo, Lavia.
Wapinzani tuogope au Chelsea wanarundika tu wachezaji? hamis77 unaiona hiyo trio ikisumbua EPL msimu huu?
EPL msimu huu inatisha sana zile nafasi 4 naona chache. Timu yangu sijui kama itaweza kwenda na kasi ya huu mchakamchaka!Watapush top 4 to be honest
Ni Liverpool haina mvuto au pesa?LAVIA amewakataa KUKU FC [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2717366
UCL hakuna mchakamchaka Kama LigiEPL msimu huu inatisha sana zile nafasi 4 naona chache. Timu yangu sijui kama itaweza kwenda na kasi ya huu mchakamchaka!
Bado ukigusa UCL kuna Madrid, Bayern, Barca. [emoji1] Huu mpira umekuwa vita sasa. Halafu masuala ya kununua wachezaji kutoka mid-table clubs ni kuziimarisha kifedha kuja kusumbua big 6. Brighton, Newcastle, Villa, West Ham wataharibu sana mipango hawa.
Joe Shield ndie siri kwenye hili deal, ni mtu aliyemuona Lavia tangu yuko city, akamvuta soton,Ni Liverpool haina mvuto au pesa?
Mbona huyu dogo Liverpool ndio walikuwa wakwanza kumalizana nae ,kujichelewesha kwao ,kukawapa nafas Chelsea kuingilia
Leo eti wanatuma £60m , wakati walikuwa wanachezea kwenye £42m
Usajili una drama sana
Leteni pesa tuwape Scott McTerminator anakichafua sana #6 #8 zote ni kiraka.Kenge wakubwa nyie