Kuna mbinu Gani chafu umetumia we matacall shoga kabisa wewe yaani sisi huyo caicedo hatuna time nae sema tumawaingiza Cha like Ili mpigwe kisawasawa sababu mnashoboka kwenye madili ya watu ***** wewe wanakunusa nyuma sio
Leo tutajua kama ninyi kweli ni majogoo au kuku tuWajinga kweli hawaishi hivi Kwa akili Yako Liverpool anapigwa🤣🤣🤣🤣
Ile Ile ya 12Leo tutajua kama ninyi kweli ni majogoo au kuku tu
Mambo ya simba na yanga Airport 😅😅😅Unajiuliza Chelsea walitoa wapi nguvu ya kwenda ku bid kwa Lavia na wakati bado hawajamalizana na Brighton.
Kumbe wajomba walishamalizana na Caicedo kitambo. Uhuni huu [emoji119][emoji16]
Here we go inafataCaicedo kaanza kufollow Chelsea kule Instagram
View attachment 2714515
Muache aendelee kua London sisi tunarudi Kwa lavia mchezaji wetu tulitaka mpigwe kisawasawa toeni 120 hapo mumpate Sasa hivi Muna adabu munashobokea madili ya watu akili imewakaa leo hiyo ndio LIVERPOOL
Mwanzo walikuwa wanapata kwa bei ya vitonga ila kwa huu puuzi walioufanya nao watakuwa kama sisi na Man u kila tukimwitaji mchezaji lazima tupigwe bei kubwaLiverpool ndio anaenda kuumia ,kiungo atakayemtaka lazima apigwe si wanajua ana £110m
Jamaa anatukana haamini kilichotokea sijui jukwaa la Liverpool litakuwa kwenye hali ganiHawa watukanaji msiwe mnawajibu
Jamaa alirushiwa kauli chafu Dah!Here we go inafata
Ila Fabrizio Romano watu walishamtukia ni Chelsea fan
Hili suala la caicedo linachanganya sana aisee , litaweka historia mpya ya kuwa msimu wenye drama sana kwenye suala la usajili katika historia ya eplUnajiuliza Chelsea walitoa wapi nguvu ya kwenda ku bid kwa Lavia na wakati bado hawajamalizana na Brighton.
Kumbe wajomba walishamalizana na Caicedo kitambo. Uhuni huu [emoji119][emoji16]