Umekuwa Mwehu wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hadi tunaenda mitamboni bado Moises Caicedo hajakubaliana personal terms na Liverpool kwa sababu mchezaji matakwa yake ni kuichezea Chelsea. Na Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wabaki London wanshughulikia usajili wake. Inaaminika Liverpool wameweka dau la kati ya pauni mil 110-115
Nasikia pia kuwa Maafisa wa Chelsea wamewakasirikia ile mbaya Liverpool
Chelsea wataweka kati ya pauni mil 120-130. Hii ngoma ndi sasa inanoga kweli kweli, wach sisi tuendelee kuwa washabiki afterall pesa sio za kwetu
Tunza maneno yako wewe mwehu mkubwaUmekuwa Mwehu wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mitamboni uende wapi mzee wewe mshamba tu hujui chochote upo bongo unakula viazi unasema mitamboniHadi tunaenda mitamboni bado Moises Caicedo hajakubaliana personal terms na Liverpool kwa sababu mchezaji matakwa yake ni kuichezea Chelsea. Na Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wabaki London wanshughulikia usajili wake. Inaaminika Liverpool wameweka dau la kati ya pauni mil 110-115
Nasikia pia kuwa Maafisa wa Chelsea wamewakasirikia ile mbaya Liverpool
Chelsea wataweka kati ya pauni mil 120-130. Hii ngoma ndi sasa inanoga kweli kweli, wach sisi tuendelee kuwa washabiki afterall pesa sio za kwetu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Relax .....Subiri Announcement tu.Tunza maneno yako wewe mwehu mkubwa
Endelea kuota huyo caicedo angekua anaipenda Chelsea asingeongeza mkataba tangu walipomuhitaj 8naonesha hujui chochote mzeeKlop alipoulizwa kuhusu dili la Caicedo alisema
Ni kweli Liverpool na Brighton wameshakubaliana dau la kumsajili Caicedo
Alipoulizwa kuhusu makubaliano na mchezaji alisema
"Tutaona"
"We will see"
Ni masa 10 sasa tangu wakubaliane bei vilabu viwili lakini Klop kashindwa kuongea na mchezaji
Naona ya Raphinha na Kounde inataka kujirudia hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ana hasira balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mitamboni uende wapi mzee wewe mshamba tu hujui chochote upo bongo unakula viazi unasema mitamboni
Endelea kuota mzee eti amzikataa Liverpool hahahahaIt's obvious Chelsea have refused to walk away, and Caicedo still wants Chelsea over Liverpool. Interesting hours ahead. Let's see if Caicedo will do a Raphinha and if Chelsea will outbid Liverpool. For sure, if they do, Caicedoβs preference becomes vital.
Caicedo hadi sasa ameikataa Liverpool akiendelea hivyo hakuna cha dau kuwa kubwa kama ulifuatilia issue ya Raphinha na Barcelona na Chelsea
Hawa jamaa hawajielewiChelsea ina Mashabiki vilaza sana, Klopp amesema publicy A deal is Agreed, Hii Confidence ni ya hali ya juu It's Done.....Acheni kudanganyana nyie Mazuzu Eti Hijack hiyo Hijack ni kwa Vilaza wenzenu sio kwa LIVERPOOL FC ......NEVER.
Hakunapopte Caicedo kahusihwa, makubaliano ni ya timu kwa timuEndelea kuota huyo caicedo angekua anaipenda Chelsea asingeongeza mkataba tangu walipomuhitaj 8naonesha hujui chochote mzee
Hukumu Iko Kwa Chelsea kwani ni mchezaji wenu hivi unajielewa Wewe jamaaHakunapopte Caicedo kahusihwa, makubaliano ni ya timu kwa timu
Mgogoro unaoendela hadi sasa Caicedo na kambi yake bado wako London ni Liverpool hamjakubaliana personal terms na mchezaji. hukumu kwa sasa iko mikononi mwa Chelsea na Caicedo ninyi mlishahukumu
Presure itawaua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Relax .....Subiri Announcement tu.
Haya sawa nimekubali Caicedo hawezi kwenda Liverpool ,Nimekubali Mkuu.
Anaweza kwenda Liverpool ila kwa sasa kuna sitofahamu na ndicho ninachoripoti, wacha ushabiki utaklufa na presureHaya sawa nimekubali Caicedo hawezi kwenda Liverpool ,Nimekubali Mkuu.
We jamaa ni mshamba sana Sasa hao si mashabiki wa Chelsea dah kweli umedataaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Caicedo anaipenda chelsea bado ana mawazo tofauti na dau la Liverpool