computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,040
Unajipa matumaini hewa ,Liverpool wamewazidi endeleeni kunununua average players tukutane EPLUna uhakika madirector walikuwa wanamtaka Caicedo?
Una uhakika Pochetino alikuwa anamtaka Caicedo?
Anakuja wakati Jana ilikuwa siku ya MWISHO.. BHA waliitenga na wakafanya auction aloweka bid KUBWA ndio anamchukua...TATIZO KWA LIVERPOOL LILIKUWA CAICEDO MWENYEWE ALIKUWA ANAITAKA CHELSEA...SASA KLOPP ANESHAMSHAWISHI...HII DILI ISHAISHA,ACHA KUJIPA TUMAINI HEWAMkuu, huku tunaumia lakini sidhan Kam pochettino na bodi walikua wanamuona kama target ya ku-secure mapema, kama ni tofauti na niwazavyo basi hata kwa 120m anakuja darajani.
Let's wait
OkayAnakuja wakati Jana ilikuwa siku ya MWISHO.. BHA waliitenga na wakafanya auction aloweka bid KUBWA ndio anamchukua...TATIZO KWA LIVERPOOL LILIKUWA CAICEDO MWENYEWE ALIKUWA ANAITAKA CHELSEA...SASA KLOPP ANESHAMSHAWISHI...HII DILI ISHAISHA,ACHA KUJIPA TUMAINI HEWA
Hakuna shaka kwamba Caisedo alikuwa kipaumbele katika midfield msimu huuUna uhakika madirector walikuwa wanamtaka Caicedo?
Una uhakika Pochetino alikuwa anamtaka Caicedo?
Brighton walivyo na tamaa hadi documents zisainiwe ndipo tujue dili limeisha. Chelsea wakipanda dau kabla hawajasaini Brighton watageukaAnakuja wakati Jana ilikuwa siku ya MWISHO.. BHA waliitenga na wakafanya auction aloweka bid KUBWA ndio anamchukua...TATIZO KWA LIVERPOOL LILIKUWA CAICEDO MWENYEWE ALIKUWA ANAITAKA CHELSEA...SASA KLOPP ANESHAMSHAWISHI...HII DILI ISHAISHA,ACHA KUJIPA TUMAINI HEWA
Kwa upande wangu mr LEMBU niko tofauti sana na issue ya Caisedo mwache aende pesa mingi sana muache aende maaana tupo tunatengeneza timu maana msimu hatupo kwenye kuwania chochote so ngoja vina hawa tulio nao tuwape muda hope tutafanyabvzrCaicedo alitakiwa na kila mtu pale Chelsea
Mashabiki waliokuwa wakimfuatili 90+% wamesononeka sana na wengine wameamka asubuhi wanaduawa kwa Sababu dili la Chel;sea lilishakubaliwa kimsingi kabla mpumbavu fulani pale sijui ni Boehly kwenda kupima maji kwa Lavia ndie katibua kila kitu.
A very big loss kwa kweli
Blunder iliyofanyika ni kubwa mnop
Hata tukimpata Aurelien Tchouameni au Lavia hawezi kufikia quality ambayo Caicedo angeleta darajani
Caiceod play styl yake ni Kante katika umri wa miaka 21 wewe fikira hapo tu tumepotezaje fursa
Liverpool wamemkimbiza usiku usiku akafanyiwe vipimo kuepuka surprise za ToddyBrighton walivyo na tamaa hadi documents zisainiwe ndipo tujue dili limeisha. Chelsea wakipanda dau kabla hawajasaini Brighton watageuka
Vipimo havihalalishi kuwa ni mchezaji wao ni kusaini documents tu tena pande zote mbili na mchezaji mwenyeweLiverpool wamemkimbiza usiku usiku akafanyiwe vipimo kuepuka surprise za Toddy
Wanasema Chelsea mtamuona Caicedo kwenye mechi yenu kesho[emoji1787][emoji1787]
Kabisa , Liverpool alikuwa na uhakika kwa Lavia ,soton wangelegea ,kitendo Cha Chelsea kuweka £48m Ni kutaka Liverpool alipe £50m ,Mkome kuingilia dili za watu kenge nyie
Hiyo ni kujifariji ambayo sio mbaya. Kuna maisha baada ya kumpoteza CaocedoKwa upande wangu mr LEMBU niko tofauti sana na issue ya Caisedo mwache aende pesa mingi sana muache aende maaana tupo tunatengeneza timu maana msimu hatupo kwenye kuwania chochote so ngoja vina hawa tulio nao tuwape muda hope tutafanyabvzr
Muda huu Wana exchange documents kwa mujibu wa Fabrizio RomanoVipimo havihalalishi kuwa ni mchezaji wao ni kusaini documents tu tena pande zote mbili na mchezaji mwenyewe
Brother Mimi Liverpool lakini hili dili hata sisi bado hatuamini kinachoendelea.Caicedo alitakiwa na kila mtu pale Chelsea
Mashabiki waliokuwa wakimfuatili 90+% wamesononeka sana na wengine wameamka asubuhi wanaduawa kwa Sababu dili la Chel;sea lilishakubaliwa kimsingi kabla mpumbavu fulani pale sijui ni Boehly kwenda kupima maji kwa Lavia ndie katibua kila kitu.
A very big loss kwa kweli
Blunder iliyofanyika ni kubwa mnop
Hata tukimpata Aurelien Tchouameni au Lavia hawezi kufikia quality ambayo Caicedo angeleta darajani
Caiceod play styl yake ni Kante katika umri wa miaka 21 wewe fikira hapo tu tumepotezaje fursa
Watu hawataki elewa na report zote hawatak ziona,Unajipa matumaini hewa ,Liverpool wamewazidi endeleeni kunununua average players tukutane EPL
Njia pekee ya kumsajil Caicedo ni kumatch bid ya Liverpool wakat huo huo tukiomba brighton wawe bado wajasign document.Mimi nilisema mapema hii tabia ya kuwa slow kwenye usajili itatutokea puani kuna watu wakanipinga lembu na mwenzake Cash Money Forever wakasema tunasajili kwa mikakati haya mmeona kilichotokea