Hatari sanaIla mchezaji anayeshine Chelsea ni wa kuheshimiwa aisee ,ni ninaamini kushine Chelsea inabidi uwe vizuri kweli na si tia maji maji , wengi wametepeta pale darajani ukiachana na exceptions chache kama akina Salah na KDB ambao ni uzembe wa makocha kutowapa muda wa kutosha .
Darajani si pa mchezo mchezo
Sema tu mifumo yenu mibovu inaua talent usi pake rangi, torres/shevchenko/ walikuja wa moto mka wapooza nakuwapoteza mazimaIla mchezaji anayeshine Chelsea ni wa kuheshimiwa aisee ,ni ninaamini kushine Chelsea inabidi uwe vizuri kweli na si tia maji maji , wengi wametepeta pale darajani ukiachana na exceptions chache kama akina Salah na KDB ambao ni uzembe wa makocha kutowapa muda wa kutosha .
Darajani si pa mchezo mchezo
Kweli mkuuu ww mpira hujui una hesabu na Torres alie kuja pale amekwisha na alivyokwisha RAHM STERRILNGSema tu mifumo yenu mibovu inaua talent usi pake rangi, torres/shevchenko/ walikuja wa moto mka wapooza nakuwapoteza mazima
Duu torres amekuja chelsea amekwisha aisee nmekubal mpira sijuiKweli mkuuu ww mpira hujui una hesabu na Torres alie kuja pale amekwisha na alivyokwisha RAHM STERRILNG
Samahani mkuuu ndio au kila goli la UEFA Ndio huuu upofu wa watu walikuwa wamepigwa na KAI NA KAGOLI KA UEFA ETI NAE NI TALENTEDDuu torres amekuja chelsea amekwisha aisee nmekubal mpira sijui
Ona hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mchezaji anayeshine Chelsea ni wa kuheshimiwa aisee ,ni ninaamini kushine Chelsea inabidi uwe vizuri kweli na si tia maji maji , wengi wametepeta pale darajani ukiachana na exceptions chache kama akina Salah na KDB ambao ni uzembe wa makocha kutowapa muda wa kutosha .
Darajani si pa mchezo mchezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimepita humu kusoma comment zenu ili nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja Tena September hapo December nicheke Tena alafu kufika march ndo ntawacheka Hadi may mkiwa nafasi zenu zile za 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hujataka kucheka, ukitaka kucheka zaid ungepitia na jukwaa la makondoo wa Arse88 huko ndio utacheka mpk uzimie.Nimepita humu kusoma comment zenu ili nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja Tena September hapo December nicheke Tena alafu kufika march ndo ntawacheka Hadi may mkiwa nafasi zenu zile za 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hujataka kucheka, ukitaka kucheka zaid ungepitia na jukwaa la makondoo wa Arse88 huko ndio utacheka mpk uzimie.
The Guardian: The Blues are unwilling to pay £100m for Caicedo, despite the Seagulls feeling a benchmark has been set by Arsenal paying a similar fee to buy Declan Rice from West Ham. Chelsea instead hope to convince Brighton to sell at a price closer to £80m ($102m).Dili la Caisedo ni kama limeisha
Mrejesho huu hapa
Chelsea wametoa Paundi mil 75 na addons za mil 10
Chelsea na Brighton sasa wamejikita kwenye mfumo mzuri wa malipo
Bayern Munich walijitoa kwa sababu walipomuendea wakalaw a Caicedo walikuta Caicedo tayari alikuwa na mkataba wa mdomo na Chelsea - Christian Falk
View attachment 2678664
Hata hizi takataka zingine nahisi walifyata mkia kwa sabbau hiyo hiyo
Caisedo alishaichagua Chelsea
View attachment 2678662
Ila kama Caicedo hawapo£100 nyingi sana.
The Blues hatutaki kupigwa tena za uso sokoni.
Wachezaji wazuri wapo kibao hiyo £100M sajili MD wawili.
Nkunku, Kane, muddy, Enzo...shida tupuBREAKING NEWS: HARRY KANE TO CHELSEA
Tukimsajili huyu, Ligi tumebeba
UEFA tumebeba
FA tumebeba
Hata makombe yale ya mbuzi na panya tumebeba
Exclusive: Chelsea have asked @SpursOfficial for permission to start talks with @HKane
Chelseafc are ready to pay asking price, #thfc last resort would be selling to @premierleague
rivals. #cfc
View attachment 2678451