Mbadala kama hawa watakuwa ghaliChelsea wakifanikiwa kuwasajili hawa sisi ni title contenders wazuri tu
Total €315M
- Diogo Costa €75M
- Moises Caicedo €100m
- Gabriel Veiga €40m
- Victor Osimhen €100
Hapo tuna wawili nkuku na jackson wengine wote ni takatakaSasa hivi tuna strikers sita
- Lukaku 30yo
- Aubameyang 34yo
- Broja 21yo
- Fatro Fofana 20yo
- Nicilas 22yo
- Angelo 18yo
- Nkunku 25yo Kasema kwenmye hiyo video hapo chini)
- Je bado tena tunahitaji striker wa Nane?
1) Lukaku 30yoHapo tuna wawili nkuku na jackson wengine wote ni takataka
Tuko na Silva(Madini)Sisi Man Utd tuko na Mount(Mlima), Arsenal wako na Rice(Mchele) alafu Man City wako na Stones(Mawe) nyinyi Chelsea mko na nani[emoji23]
ni mafagio, watu ka 6 so far washatimka.Nimefurahi sana kwa takataka Havertz kuondolewa kwenye timu yetu.
Tunamchukua Veiga, ni kama wako sawaChelsea wakimsajili caicedo basi wamchukue na Dominik szoboslai katikati awepo caicedo,enzo na dominik mbele nkunku na nicolas aiseee hao wote ni wafungaji
Hiyo kauli ndo imenistua 'untouchable'-Fabrizio Romano
Chelsea have submitted their first new contract bid to Levi Colwill.
Long term deal proposed few days ago, as called by @NizaarKinsella
Colwill will not make any decision now, he wants to speak to Pochettino after U21 Euros.
Chelsea consider Levi ‘untouchable’.
View attachment 2674309
Untouchable maana yake hauzwi, ndio tafsiri rahisiHiyo kauli ndo imenistua 'untouchable'
Untouchable means "ogopa matapeli kiwanja hiki hakiuzwi "Hiyo kauli ndo imenistua 'untouchable'