Hivi ninyi hamridhiki, tumewatosa wahenga wengi sana, Chilwell sio mhenga, mhenga ni 30+Mhenga silva na akina Ben wanatosha
Sterling huyu nae angetupisha tu hafaiHivi ninyi hamridhiki, tumewatosa wahenga wengi sana, Chilwell sio mhenga, mhenga ni 30+
- Tunaye Silva 38 sidhani kama ataongezewa muda baada ya Juni 2024
- Sterling 28
- Kepa 28
- Chilwell 26
Cucrella anapitwa kwa mbali na Ian Maatsen pamoja na Lewis HallHyu cucurelaa atoke tu hatufai maaana tumepigwa pale
Nahis Chelsea kuna kitu hakipo sawa kwenye issues za wachezaji utaona msimu huu yule dgo alie kuwa Braiton atakavyokuwa flopCucrella anapitwa kwa mbali na Ian Maatsen pamoja na Lewis Hall
Sijui Chelsea huwa wanaona kengeza
View attachment 2669187
Chukua onana au yule wa AC milanMhenga, yaani unataka tubaki na makinda yote
Sterling ni mzuriSielewi Sterling anabaki kwa nni ?
Niliwahi kusema kwa mashabiki wa manjesta wakabisha ila kinaenda kutokea , Project ya Chelsea inaweza kuwahi ku mature kuliko ya Manjesta sababu Chelsea wamekuwa haraka Sana ku overcome matatizo ,
RLC kashindwa kurise game yake wakati potential yake ni kubwa SanaDili la Cheek limekamilika kwa Euro 15m na adons za 5m
Cheek hatunaye tena
Cheek ni mojawapo wa wachezaji wasiokuwa walalamishi pale Chelsea
Akibki tunataka atoe kila alichokuwa nacho na ajitoleee kwenye timu aache ujinga-Matt Law
Mason Mount anatarajiwa kumwambia Pochettino kwamba ataendelea kutoa kila kitu kwa ajili ya Chelsea wakati bado ni mchezaji wa klabu hiyo na kwamba yuko tayari kwenda pre-season na kufanya kazi kwa bidii kabla ya msimu ujao. Mount hajaomba kuondoka katika klabu hiyo bali alilazimishwa.
View attachment 2669625
Mkuuu timu yetu inashida sehemu maana utashangaaa ata flopKatika CAM wanne bora duniani Nkunku katajwa kuanzia no. 2 hadi 4
So tumelamba dume kweli kweli
View attachment 2669718
Hizi taarifa nzuri Sana sasa ndio wakati wetu wakusumbua sokoniVictor Osimhen anaitaka Chelsea na Pochetino ni mlengwa wake na. 1 katika nafasi ya striker. Mshambuliaji huyo aliyefunga magoli 31 msimu uliopita na anayelipwa Paundi elfu 93 na Napoli atakuwa ameahidiwa donge nono la mshahara na Chelsea. Liverpool na Manchester United wameshakutana na mwakilishi wake na mchezaji anaitaka Chelsea ambayo hata haishiriki mwakani kwenye mashindani makubwa ya Ulaya
View attachment 2669955