Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je scout hawamwoni mchezaji wa kumbeba kutoka Soton?
Ward-Prowse?? or Lavia??
 
Poch je ni chaguo sahihi kweli?
 
Umeona ujipoze na takwimu za nyums.
Hali ni Tete😂
 
Chelsea plan to sign a new striker in the summer in any case, no matter what happens with Lukaku; decision has been discussed with Pochettino, talks will follow on best #9 option. [emoji838] #CFC

Plans on Lukaku will be made in June. No talks took place with Romelu side or Inter yet.


Inatakiwa Lukaku arudi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Isikieni hii kiazi mbatata.
 
Huyu Haaland haoni ndani
Anaitwa Gift Orban wa Gent kule ubelgiji
Ana miaka 20

 
Lukaku leo kaonyesha kiwango cha juu kwenye kumiliki na kutoa pasi za uhakika. Japo hajafunga lakini assists aliyotoa kwa Lutaro Martinez ni supurb kabisa

Welcome back to Darajani Bolingo wetu



 
Julian Nagelsmann’s agent Volker Struth to podcast Phrasenmaher: “I can confirm that Chelsea were quick to call [after Nagelsmann’s dismissal at Bayern]. It was the right decision by Nagelsmann not to go there. It’s a club in troubled waters at the moment” “Chelsea’s transfer policy, spending a few hundred million Euros, has raised expectations that need to be met. There were also other issues. He was their number 1 choice, that was our information. I believe it would have happened if he wanted it.”
 
Rio Ferdinand: "I think Levi Colwill is the best one they have got at #Chelsea. He’s better than Wesley Fofana and I think he’s better than Benoit Badiashile."

“We ain’t getting him, he’s at Chelsea, they ain’t selling him. I think Colwill is the best one they’ve got, I think he is better than Fofana and Badiashile”“Did you see the way he was slapping the ball around against Arsenal yesterday?” (@FIVEUK)
 
Official: Brentford striker Ivan Toney has been suspended from all football and football-related activity with immediate effect for eight months. He has also been fined with £50,000 —and warned as to his future conduct for breaches of The FA’s Betting Rules.
- Fabrizio Romano 3 hrs ago

 
Bila ubishi tunawapa ubingwa wao
City anaweza akawa Bingwa kabla ya kucheza na Chelsea
Arsenal akifungwa na Forest jmamosi City bingwa. Kuna kila dalili Arsenal akatoa Droo. Ngoma ikiwa droo, City anakuwa Bingwa ambaye hatatangazwa bado kwa sababu mathematically sio Bingwa. Arsenal anaweza akamfunga Wolves goli 20 mechi yake ya mwisho na city akafungwa na Chelsea, Brighton na Brentford. Msinitukane, nimeongea Mathematically
Ila Arsenal akimshinda Forest basi, City itabidi tu atufunge, msimu huu hatuna ubishi hapo
 
Soma anachosema Kieran Trippier:

“Pochettino’s training was on a different level. We never got days off it was 7/8 weeks without a day off. As a manager I can’t fault him, he was unbelievable. You get used to it.”

Kama yuko hivi basi huyu ndie atatufaa, sio huyo Potter baada ya kufungwa anawapa wachezaji wakafanye zinaa na kupunguza nguvu badala ya kufanya mazoezi ya stamina. Stamina ndio mojawapo ya kitu kikubwa kilichokosekana pale Chelsea, Wale lads wa Potter wamekuwa legelege sana
 
Chelsea have put Brentford striker Ivan Toney on a transfer shortlist of potential summer signings as they target a new forward, pending the outcome of his Football Association betting charges.

Haiwezekani tena, kapigwa ban ya miezi nane
 
According to @mattinodinapoli, Chelsea have made made an inquiry to get information about potentially signing Napoli pair Khvicha Kvaratskhelia and Stanislav Lobotka.
 
Broja akiwa chini ya kocha mzuri ni striker wa Calibre ya Chelsea
Ni mrefu
Bouncer
Kwa sifa hizo akiwa na stamina na ball control na clinicality kwenye kufunga atakuwa kama Haaland kwa sababu ni ngumu kumnyanyasa physicaly na kwenye aerial duels
 
Gary Neville: “I love Mauricio Pochettino. I always thought if Chelsea brought in Pochettino and refined the squad a little, they could have a very good season next year. Pochettino will not take a job on if he doesn’t think there’s huge potential there."
 
According to @mattinodinapoli, Chelsea have made made an inquiry to get information about potentially signing Napoli pair Khvicha Kvaratskhelia and Stanislav Lobotka.
Ila hii timu itaniua kudadeq. Scouting team inashindwa kwenda kutafuta vijana wabichi huko America kusini kweli wanaanza kuhangaika na mtu ambae ameshajipata kwenye carrier yake kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…