tapika tapika hadi povu la mwisho.. Timu gan inajihami hata ikicheza na mbeya city mtaweka watu 6 katika defence line
tapika tapika hadi povu la mwisho.. Timu gan inajihami hata ikicheza na mbeya city mtaweka watu 6 katika defence line
Mata hauzwi kwa taarifa yako; jaribu kufuatilia kwa umakini
Watu wangu wa nguvu niambieni kwanini kocha wetu asingemuuza mata nje ya england kwani inauma sana kumuangalia akitesa mbele yetu au imekaaje hii nijuzen!
timu inayopaki basi haiwezi kupata matokeo haya:
Chelsea 2- 1 Man City
Chelsea 2- 1 Liverpool FC
Chelsea 3 - 1 Man Utd
Arsenal 0 - 0 Chelsea
Arsenal 0 - 2 Chelsea(kombe la ligi 2013)
Chelsea 3- 0 Shalke
Shalke 0 - 3 Chelsea.
Chelsea 4 - 0 Steau Bucharest
timu inayopaki basi haiwezi kuwa n goal difference +23.
Timu inayopaki basi haiwezi kushinda mechi 6 mfululizo; itawezaje wakati wachezaji wanabaki nyuma?
Timu inayopaki basi hujalazimishwa kuishangilia; wala hawajuomba wewe uwe mshauri wao wa ufundi; wamempa kazi hiyo George Emenaro + Jose Mourinho, Rui Faria, Steve Holland, Silivinho Louro;
Peleka ushabiki wako kwenye mpira wa makaratasi tuachie; "professional football" ligi inayokufaa itaanza jumamosi huku tuachie tunaojua.
makelele ya nin tusubiri tuone mwisho wa siku nani atatupa taulo. Na nnakuhakikishia kufika march mwishon mtakua sawa na man u
Mkuu agosti 8 kwa fact ulizomwaga hapo juu Bilashaka atakaebisha atakua anamatatizo ya akili!
Asante mkuu Ntuzu; kazi yangu ni kuweka taarifa sahihi ili washabiki wa Chelsea Fc wafurahi;
Tuelimishane kuhusu mpira;
Pamoja Mwana!
Asante mkuu wangu Ntuzu;
Chelsea imewahi kuiadhiri Arsenal kwa kuifumua goli 5-0, msimu wa 1998/1999.
Enzi hizo 'watani' zetu walikuwa wanavaa zile jezi maarufu za JVC.
Chelsea walikua na Autograss
Kabisa mkuu wangu enzi za AUTOGLASS.
Kocha wakati huo alikuwa GIANLUCA VIALLI (kocha mchezaji)
Mwanangu nafatilia data kuona Km Chelsea inaongoza kwa kutoa wachezaji ambao baada ya kustaafu soccer wakawa makocha!
Mwanangu nafatilia data kuona Km Chelsea inaongoza kwa kutoa wachezaji ambao baada ya kustaafu soccer wakawa makocha!
Nyongeza:
10. Gianluca Vialli - alikuwa #9 wa Chelsea na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa kocha wakati Chelsea inaifunga Man Utd 5-0.
11. Dan Petrescu - alikuwa mchezaji mzuri wa Chelsea miaka ya 1998, hatimaye akawa kocha kwenye timu ya huko kwao Romania.
12. Ray Wilkins - alikuwa kapteni wa zamani wa Chelsea, miaka ya zamani. Wilkins alikuwa kocha msaidizi chini ya Guus Hiddink mwaka 2009, na akawa msaidizi wa Carlo Ancelotti 2009-2010.
Kumbuka kwamba Ray Wilkins amewahi kuwa kocha wa Chelsea (interim) kwa mechi moja tu; ilikuwa mwezi 2, mwaka 2009 kabla Guus Hiddink hajateuliwa kuwa kocha mkuu.
Kwa sasa Ray Wilkins ni kocha msaidizi wa Fulham; timu ya Fulham ni timu ya mtaa mmoja na Chelsea;
Thx Mkuu mpk hapo tayari Chelsea iko na makocha 12.
Mkuu agosti 8 mbona De Mateo hutaki kumzungumzia sn? Kwakweli huyo jamaa ni kiboko! Ktk history ya Chelsea kamwe hatosahaulika!