[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachezaji wa kawaida wapo kibao kama:-
1. Miss epl
2. Waruwaru
3. Mpira vurugu
4. Paparazi
5. Kwashakoo
6. Mtumishi hewa
7. Ndege John
Labda useme kwamba timu ikiwa na mfumo bora, wale wachezaji bora watawabeba hawa wa kawaida nao waonekane bora, hence timu bora.
Toa chochote basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah
Mbavu zangu Mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa naenjoy nikisoma comment zako Mkuu.
Kampigeni City, ndo muoshe jinaLeo tuoshe jina kwa aseno tuwapige
Chochote kiliwashinda mliposhindwa kumfunga madridToa chochote basi
City tunampa ushindi ili achukue ubingwaKampigeni City, ndo muoshe jina
Style yetu ndio ipi? akina Drogba, Hazard na wengineo walianza hivi hivi baadaye wakaja kuwa motoWachezaji wazuri ila waliosajiliwa hivi karibuni sio wa utamaduni wetu, sio type yetu, sio style yetu.
Ni wazuri ila sio wazuri kwenye utamaduni/style yetu ya kutupa mafanikio.
Wachezaji waliotupa mafanikio huko nyuma hawakuwa style ya kina:-
Kai, Mudyk, Madueke, Pulisic, Badieshile, Cucurela, Enzo.
Turudi kwenye utamaduni wetu wa kusajili wachezaji wanaume wa kazi, vipaji kazi sio vipaji bleach, tatooes, kudeka.
Vipaji vyenye uchu wa mafanikio, uchu wa upambanaji na kujituma sio vipaji vya bora liende, bora tulipwe mshahara, vipaji mzigo.
Mtasema mpira wa siku hizi umebadila blah blah, ila nawaambia kamwe Chelsea haitabadilika kwenye uchezaji wake, utamaduni wake, sajili za wachezaji wa aina yake, jinsi ya kubeba makombe yake
Mount amekuwa victim wa unyanyapaa wa kwenye social media tangu muda mrefu huku mkijisahaulisha kuwa miisimu miwili Mount kawa mchezaji bora, UCL yeye alikuwa critical factor sisi kubeba UEFA. Kama haumjui mchezaji just nyamazaKwa mpira gan anaocheza mount nyie ndo mnaharibu mpira kwa kupandisha mishahara ya wachezaji wa kawaida sana
Halafu aje kuwa Puppet wa Boehly au hilo hujaliona kuwa ni tatizoMbona mi naona ishu ni kupata kocha mzuri tu basi.
Gabi atajifunga leo au atatoa penaltiSijawahi kuona duniani, timu inashinda bila kufunga magoli. Labda Ushindi wa mikwaju ya penati.
The blues haina uwezo wa kufunga magoli. Kwenye Miezi 5 tumefunga goli 1.
Labda mabeki wa Aser8 wafungwe jicho 1 na kitambaa cheusi na mikono yao ifungwe pingu.
Nyie makenge, hamna akiliCity tunampa ushindi ili achukue ubingwa
Amka usingizini wewe utajikojoleaGabi atajifunga leo au atatoa penalti
🤣🤣🤣🤣🤣Yatapitaaa [emoji445][emoji445]
Yana mwishoo [emoji445][emoji445]
Iko siku mutayasahau [emoji445][emoji445]
Watawaheshimu wanaowadharau [emoji445][emoji445]