kikos kina takataka Havertz, sijui kwa nini mudryk haamini siku acheze hat dk.90.huyo cheki ndipo matatizo yanapoaniaga, hana ubunifu ni shida - Huyo steling wa movie na yeye bado hajapata click tangu ajiunge chelsea bado anahangaikia maisha yake, Choba atusubiri nje, Galagher bado ana struggle ku click kwenye timu.
Line aliyotoa huyou bwana wa juu ni zuri ila hawa majeruhi wawili Mendy na Silva kuwaingiza straight kwenye first lineup aiseee ni risk, watu wamekaa nje zaidi ya mwezi - how are you going to prove their fitness ? hii ni mechi ya mtoano kaka.
timu letu bado halina muunganiko, ni purukushani tupu - nani aingie nani akae nje mambo yanakuwa yaleyaleMi ningekuwa Lampard
Kepa
James Badiashel silva/coulibaly Benchilwell
Enzo covasic felix
Kante
Aubameyang mudryk
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kocha TT hana hata wiki 2 tu ulitegemea Bayern Munich ingefanya naye maajabu gani haswa?Ebwana Bayern kasulubiwa huko mpaka aibu , lile li Guardiola linajua ball aisee msilete utani kabisa , yaani nimekaa naangalia ule mpira mpaka raha ,yaani bayern kakaangwa kisawa sawa
Chelsea inabidi ipate coach wa kufundisha mpira wa kushambulia faster na kupress kama vile ,bayern second half wamedhalilishwa sana
Kweli kabisa Pisi Kali, sasa itakuwaje tena tukichezea kichapo Mama la Mama?[emoji26]Interlacustrine R nakusabahi mapema kabla ya kichapo baadaye, Ahsante.
Kumbe wewe mrembo ni shabiki wa madrid kwa hali yetu ilivyombaya una nguvu zote zakutamba lakini nikwambie tukiwa kwenye ligi ya mabingwa tunabadilika kabisaInterlacustrine R nakusabahi mapema kabla ya kichapo baadaye, Ahsante.
Dah we ni shabiki wa chelsea ila haujui kama baadhi ya wachezaji hapo hawapo kikosi cha Uefa.Mi ningekuwa Lampard
Kepa
James Badiashel silva/coulibaly Benchilwell
Enzo covasic felix
Kante
Aubameyang mudryk
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mgeni wa maumivu ya the blues..??😔Kweli kabisa Pisi Kali, sasa itakuwaje tena tukichezea kichapo Mama la Mama?[emoji26]
Madrid ipi Hziyech..??Kumbe wewe mrembo ni shabiki wa madrid kwa hali yetu ilivyombaya una nguvu zote zakutamba lakini nikwambie tukiwa kwenye ligi ya mabingwa tunabadilika kabisa
UPo mawazoni mwangu 100% na huwa nilikua nawazaga ndicho kilichokua kinamfelisha kutojaribu hicho kikosi.Mi ningekuwa Lampard
Kepa
James Badiashel silva/coulibaly Benchilwell
Enzo covasic felix
Kante
Aubameyang mudryk
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Pole sana Mamaangu kipenzi Carleen kwa maumivu.Wewe ni mgeni wa maumivu ya the blues..??[emoji17]
Mie nishaandaa moyo wangu zamani sana..!!
Badiashile hajasajiliwa kucheza UEFAMi ningekuwa Lampard
Kepa
James Badiashel silva/coulibaly Benchilwell
Enzo covasic felix
Kante
Aubameyang mudryk
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app