Dah hii game naikumbuka ilikuwa dhidi ya valencia iliyokuwa ya moto ndani yake kuna David villaShevchenko, who played for Chelsea between 2006 and 2009, said the forward is 'in good hands'
Huyu jamaa naye alikuwa flop mkubwa alipokuja Chelsea. Anamtetea Mudryk kuwa ni usajili kwa ajili ya baadaye, apewe muda tu. Yuko mikononi salama darajani
Anapewa £22m tu wameshayaongea na boehlyHalafu anakula £60M kwa kuvunjiwa mkataba
Waingereza ni makanjanja ,hasa kwenye level ya ukocha ndio zero kabisa ,hawafai
Oya lembu hebu leo jitahidini mtupigie hizo punda, ila kuweni makini huaga zinaroga sana zinapokuaga nyumbani kwao, kimasihara masihara nyumbu tulichezea goli 7 kama utani.Haibadilishi ukweli kwamba managers are hired to be fired
Hii concept hata makocha wenyewe wanajua na ndio maana mikataba inawapa protection kama consolation plus psychological preparedness ya kutosha sio yeye tu bali na familia yake yote
Eddie Howe mwaka huu kabahatisha tu. Si alikuwa kocha muda mrefu alifanya nini?Mtoe Eddie Howe
Aliipandisha bournemouth madaraja matatu ndani ya misimu saba pia aliibakisha ligi kuu kwa misimu mitano mfululizo...hata pep anamhusudu sana jamaa , mwaka huu anaipeleka champions league newcastle kwa mara ya kwanza toka kipindi cha kina faustino aspirilla na Allan shearerEddie Howe mwaka huu kabahatisha tu. Si alikuwa kocha muda mrefu alifanya nini?
Ni mchezaji mwenye potential kubwa ila toka amekuja chelsea amekuwa akichezeshwa out of his position ...ukitaka kumuangalia vizuri cheki ile game yake ya kwanza dhidi ya liverpoolMudryk is just a Ukrainian Daniel James at this point
Hivi yule dogo ,Daniel James wa manyumbu walimpeleka wapi ? ,Yule dogo ni nilikuwa naona anakipaji na potential Sana sijui nini kilichomkumbaMudryk is just a Ukrainian Daniel James at this point
Aliuzwa leeds united...sasa hivi yupo Fulham kwa mkopoHivi yule dogo ,Daniel James wa manyumbu walimpeleka wapi ? ,Yule dogo ni nilikuwa naona anakipaji na potential Sana sijui nini kilichomkumba
Hajabahatisha ,Eddie Howe kitambo tu ana uwezo wa Kati, Wakati Arsene Wenger anaondoka Arsenal alishauri awe mrithi wake ,Eddie Howe mwaka huu kabahatisha tu. Si alikuwa kocha muda mrefu alifanya nini?
Eddie Howe Ni kocha kijana mwenye mbinu Kali ,Aliipandisha bournemouth madaraja matatu ndani ya misimu saba pia aliibakisha ligi kuu kwa misimu mitano mfululizo...hata pep anamhusudu sana jamaa , mwaka huu anaipeleka champions league newcastle kwa mara ya kwanza toka kipindi cha kina faustino aspirilla na Allan shearer
Sasa hilo sio kosa lake maana akujipeleka paleYani Tumbo lililombeba yule tahaira Potter limelaaniwa na popote atakapoenda huyu kocha hatofanikiwa. Amekuja kuifanya klabu kama sehemu ya majaribio wakati sisi tunataka makombe tu
Jirani unavyoona Wewe kocha yupi anatufaa bila ushabikiKuna chura anamshangilia Pochettino.
Mwingine anakuambia wanahitaji kocha mwenye big club experience ila anakutajia Amorim.
Dafuq