Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,930
- 236,534
Kwa hali mliyonayo sasahivi sidhani kama mtawawezaPole sana Anne, Real Madrid ni Mungu wenu Liver na mnawaogopa kweli kweli kwa sababu anawafunga atakavyo, ila sio kwetu
Mpira ungekuwa unachezwa kwa hisia kama zako basi kungekuwa hamna haja ya kupeleka timu uwanjaniKwa hali mliyonayo sasahivi sidhani kama mtawaweza
Mimi nipo nasubiri..
Mkiwafunga nidai chochote.
Chochote?[emoji2] Au swali n Kwa bwana lembu Tu[emoji28]Kwa hali mliyonayo sasahivi sidhani kama mtawaweza
Mimi nipo nasubiri..
Mkiwafunga nidai chochote.
Akudai chochote sioKwa hali mliyonayo sasahivi sidhani kama mtawaweza
Mimi nipo nasubiri..
Mkiwafunga nidai chochote.
Tusiandikie mateMpira ungekuwa unachezwa kwa hisia kama zako basi kungekuwa hamna haja ya kupeleka timu uwanjani
NdiyoAkudai chochote sio
🤣Chochote kinachohusu mpiraChochote?[emoji2] Au swali n Kwa bwana lembu Tu[emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Arsenal 137 yearsChelsea ya €600m
Nafasi ya 10
Potato unamuelewa unamsikia?, wote hao akina nkuku, mudyk, felix wanaweza wakawa wanasugua benchi, 1st eleven yake wakacheza mount, gallaghar, RLCMkuu ushindani ni mkubwa kule mbele kuliko unavyofikiri, akibaki Mount msimu ujao itakuwa terible kwani Nkunku akiongezeka sijui itakuwaje
Kwanza Pulisic hata akibaki anaweza kosa namba kabisa ya kukaa benchi
Mount ataface competition kubwa na akina Nkunku, Felix, Mudryk, Sterling, Madueke, Kai Havertz bila kuwasahau pulisic na Galagher
Uzuri wa Mount anaweza cheza kuanzia CM , AM, na winga ila nafasi yake nzuri ni winga ambazo zina ushindani mkubwa
Bi dada embu fafanua, mpira upi? wa ufukweni, wa miguu au ule wa 1 vs 1🤣Chochote kinachohusu mpira
Mkishinda mnidai
🤣🤣🤣🤣🤣Bi dada embu fafanua, mpira upi? wa ufukweni, wa miguu au ule wa 1 vs 1
Mitano tena kwa Chuck Norris [emoji1478]
Kwa hii spana harudi tena huyo.Arsenal 137 years
Champions league: 0 trophy
Hata wewe si unahusiana na mpiraNdiyo
Kinachohusiana na mpira
HapanaHata wewe si unahusiana na mpira