Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,525
- 14,872
Nimesikia watu wanamuongelea diego simeone ila mimi huyu jamaa sitaki hata kumsikiaBinafsi mawazo yangu kwa sasa yapo kwa kocha gani tutaletewa baada ya Potter?
Potter safari yake imeshafika ukingoni sioni akichomoka kwa Dortmund na mechi zinazofuata baada ya Dortmund.
Huyu Leeds utd Potter anaweza kuokota point.
Naomba Mungu tuletewe kocha ambaye alishabeba makombe makubwa.
Mambo ya kusema sijui kuna makocha hawajabeba makombe lakini wanafundisha mpira mzuri, hapana hao hawatufai. Wabaki huko na mpira wao mzuri
Tunataka world class coach ambaye ana historia ya kubeba makombe makubwa katika ushindani mkubwa.
Mnamuongelea ili iweje jamani.. si tumekubaliana Potter mitano tena?Nimesikia watu wanamuongelea diego simeone ila mimi huyu jamaa sitaki hata kumsikia
🤣🤣🤣🤣 🤣Chelsea amekua kama polisi mzenji.
Hii game na soton yani ndio ingekuwa ya kumpa mkono wa kwa heriUkitaka kujua sisi ni wabovu
Soton wamefungwa hadi na timu za madaraja ya chini isipokuwa Chelsea
Hata kwa leeds haokoti point. Yani kama tunamsubir mpk kwa game ya dortmund then itakuwa too lateBinafsi mawazo yangu kwa sasa yapo kwa kocha gani tutaletewa baada ya Potter?
Potter safari yake imeshafika ukingoni sioni akichomoka kwa Dortmund na mechi zinazofuata baada ya Dortmund.
Huyu Leeds utd Potter anaweza kuokota point.
Naomba Mungu tuletewe kocha ambaye alishabeba makombe makubwa.
Mambo ya kusema sijui kuna makocha hawajabeba makombe lakini wanafundisha mpira mzuri, hapana hao hawatufai. Wabaki huko na mpira wao mzuri
Tunataka world class coach ambaye ana historia ya kubeba makombe makubwa katika ushindani mkubwa.
Mtamtoa wap sasa labda mumchukue kocha wa mwadui fcKama kweli poor performance ya timu ni zaidi ya matatizo ya kocha, kwa maana labda pia wachezaji wamegawanyika basi hata hiyo mechi ya Leeds utd tutapoteza.
Nakumbuka TT alivyotua THE BLUES kwenye uwanja wa mazoezi alivyokuwa anaelekeza mbinu zake kwa hari ya hali ya juu.
Ghafla Rudger ambaye alikuwa hapati nafasi kwenye kikosi ghafla akajeuka lulu.
Naamini kocha mpya akitua inawezekana Auba akawa pacha wa Halland wakina Mudryk na Madueka wakawa winga za hatare zaidi duniani.
Sharti tuu tulete world class coach wenye historia ya kubeba makombe katika ushindani mkubwa.
Ukitaka kuamini hakuna kocha hapa , team nzima sasa hivi inaonekana kama genge la wahuni hata james,chilwel, hata new signing sahiv zinaonkana ni average.Kama kweli poor performance ya timu ni zaidi ya matatizo ya kocha, kwa maana labda pia wachezaji wamegawanyika basi hata hiyo mechi ya Leeds utd tutapoteza.
Nakumbuka TT alivyotua THE BLUES kwenye uwanja wa mazoezi alivyokuwa anaelekeza mbinu zake kwa hari ya hali ya juu.
Ghafla Rudger ambaye alikuwa hapati nafasi kwenye kikosi ghafla akajeuka lulu.
Naamini kocha mpya akitua inawezekana Auba akawa pacha wa Halland wakina Mudryk na Madueka wakawa winga za hatare zaidi duniani.
Sharti tuu tulete world class coach wenye historia ya kubeba makombe katika ushindani mkubwa.
Dah mkuu, Huutendei haki huu uzi ulipotelea wapi?[emoji2][emoji2][emoji2]Chelsea amekua kama polisi mzenji.
Hata mimi nimeliona hilo, wachezaji wamemuona hatoshei wakaamua kumgomea ili aletwe kocha anayejua kufundishaHuyu kocha hajajua tu... ni kwamba wachezaji WAMEMKATAAA... haiwezekani kwenye mechi 15 ukashinda 2 tu .... average na small teams zinakufunga while una world class players..haingii akilini kabisaaa inaezekana kuna watu wanampenda sana Tuchel bado... Au amewaudhi sana na mgomo ni mkali .... Potter ni coacher ila amekutana na wachezaji waliomkataa... Hakuna jinsi kwa namna hii team ilivyo mwarobaini ni aondoke tu... Kumbuka aliwahi kuondoka AVB akaja Di Mateo asie na chochote timu ikabeba UCL.. akaja Avram Grant team ikafi final UCL.. huu utamaduni umeendelea na naona hauwez kufutika... hata kama matajiri hawataki..
Simeone akija wakina James na silva watakua wanakula umeme kila mechi ni kocha mwenye mbinu hovyo kwelikweliBora arudi Morinyo kuliko Simeone
Sasa kocha huna mentality ya kushinda we ukifungwa uko the lads gave everything, that is life,Huyu kocha hajajua tu... ni kwamba wachezaji WAMEMKATAAA... haiwezekani kwenye mechi 15 ukashinda 2 tu .... average na small teams zinakufunga while una world class players..haingii akilini kabisaaa inaezekana kuna watu wanampenda sana Tuchel bado... Au amewaudhi sana na mgomo ni mkali .... Potter ni coacher ila amekutana na wachezaji waliomkataa... Hakuna jinsi kwa namna hii team ilivyo mwarobaini ni aondoke tu... Kumbuka aliwahi kuondoka AVB akaja Di Mateo asie na chochote timu ikabeba UCL.. akaja Avram Grant team ikafi final UCL.. huu utamaduni umeendelea na naona hauwez kufutika... hata kama matajiri hawataki..
Ukisema mbinu mbovu utakuwa unamuonea, anayo achievement kubwa kuliko hii ya Potter.Simeone akija wakina James na silva watakua wanakula umeme kila mechi ni kocha mwenye mbinu hovyo kwelikweli
🤣🤣🤣🤣🤣Potter kitu alichofanikiwa ni kuunganisha fanbase yote kumkataaa