juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sijawah ona kocha aliyejaa excuse kama Potter, kila game atakuja na excuse, anahisi chelsea ni kama Brighton.Nimefurahi hakupewa red card kama angepata huyu kocha angetukia Hilo chaka kujifichia utumbo wake lembu juan david dah msimu tuimba lugha Moja huyu kocha anatudhalilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimfukuza kocha mwenye C.v ya UCL, Lete kocha mwingine wa caliber hiyo.
Ukimfukuza kocha wa makombe, lete kocha wa makombe.
TODDY unamfukuza TT, anatuletea kocha mwenye mafanikio ya kufuga ndevu.
Dortmund wanakuja kumchanua mapaja Potter hapo Stanford Bridge na Uwezo wa kumaliza top 4 hatuna.
TODDY aombe ushauri kwa Mtangulizi wake Roman, Toddy aache kukaza hilo likichwa lake likubwa kama transforma. View attachment 2531361
Sasa huyo aliyetoa hayo maoni alikuwa ni striker wa Chelsea 200-2004 na hiyo nafasi anaifahamu kweli kweli. Ila kwa upande mwingine mimi naamini kuna kitu kinaendelea ndani ya Chelsea na hicho kitu kinaelekea kuwa ni baadhi ya wachezaji wa zamani kutoridhika na wanaendelea kuiambukiza sumu dressing room.Ishu sio kushindwa kutengeneza nafasi
Ishu ni timu kushindwa kufunga magoli kabisa.
Mechi ya jana 2nd half sijui kama tulifanya attempt ya maana kwenye goli la totte.
Paparazi STERLING anachezea nafasi kibao za kufunga magoli.
Harvetz slow motion baller.
Mudryk, Ziyech, Mount, Jao sio wafungaji wa mara kwa mara.
Kiufupi pamoja na usajili tuliofanya, bado hatuna wafungaji wa caliber ya juu
Ndio maana jana nili imagine tungekuwa na wakina Hazard, Willian na Costa kwenye ubora wao timu hii hii ya Potter ingefunga magoli kibao mbona.
-------Costa-------
Hazard--Jao-- Willan
----- Kante--- Enzo----
Chil-- Kolib -Fofana -James
Kwa timing yao hawakuweka miezi mitano, wameweka msimu ujao ndio timing ya kupima hiyo processNah, hakuna process ya hivi, 5 months now hatuna improvement yoyote.
Area ipi tumeimprove,
Ni rahisi sana sasahivi kucheza na sisi hii yote ni kwa sababu ya kocha tulie nae anahisi Chelsea ni kama Brighton, ndio maana press conference zake ni za hovyo
Siku wakishtuka itakuwa too late.Kwa timing yao hawakuweka miezi mitano, wameweka msimu ujao ndio timing ya kupima hiyo process
NO WAY lazima tuwe wapole tu. mabosei wameshasema hivyo
Na isitoshe potter huyo huyo kaachana na mfumo aliokuwa nao Brightonkinacho nishangaza kwa huyu potter n kung'ang'ania mfumo ambao uouo unaonekana kutoeleweka kwa wachezaji yani unatoka kupoteza gem3 alaf bado umeukumbatia mfumo ambao tunaona n kila mchezaji anacheza kivyake ameshndwa kujarib mifumo alioikuta ata ya bek3 au kueka viungo wa3 yan james ckuiz unamuona kama ajui chilwell ivoivo ata kante atarud na bado tutabak kuwa wabovu kwa uyu kocha aliekariri maisha ya brighton na kuyaleta darajan amebaki kama mjinga yan kuna mda adi sisi washabki tunaona wapi kunapwaya ndo mana mpaka saivi hana first eleven
Tuchel hawezi kuwa sawa na Potter hata siku moja, naona unajaribu kuaminisha watu kuwa hata Tuchel angeshinda mechi mbili kati ta 17.Kwa ninavyojua mimi Rudiger hakugoma kubaki ni chelsea ndiyo ilimkataa jamaa
Additional ya defenders ilifanya muwe na defenders almost 8 mpaka 11 nafikiri. Tuchel believes kwenye compactness kwenye defense so it is understandable.
Ila katika hizo games tayari alishaonyesha kwamba timu ina shida
yani analazmisha vitu asivyoviweza saiv tunae ma wingback kwann tuwatumie kama ma fullback sehem nyingne ni kiungo kwann apendi kutumia viungo wa3 mana ukiangalia game kama zote tunafunikwa kwenye kiungo kama jana ilkua pasi mbili tu tot walkua tayari golin ila unajiulza n kipi kocha aoniNa isitoshe potter huyo huyo kaachana na mfumo aliokuwa nao Brighton
Kwenye game ndio mda wa kufanya majaribio,ashaona kitu hichi hakifai o hakileti result why uendelee kukomalia hicho hicho.
Waweza ona utani ila ni kweli.Ngumi aliyotandikwa Emerson Royal
tungekua na kocha mwenye akili apa ingekua kila kombe tunaloshriki ana jesh lingneKweli mipango sio matumizi.View attachment 2531874