Hebu kaangalie list ya wachezaji wenye pace kubwa bundeslinga halafu uone yule dogo yupo nafasi ya ngapi.Kwann unawaza kwamba angecheza foul.?
N kwann tumekariri mazingira kama yale ni lazima mtu acheze foul.?
Kwan mtu hawezi kucheza vzr na kuuchukua mpira.?
Yn kutoka katikati ya uwanja mpaka golini, mchezaji mwenye thamani kubwa kama Enzo anashindwa kujua mbinu ya kuuchukua mpira kwa njia salama.?
Tuache kukariri wakuu.
Watu wanarahisisha sana.Mtu aliyekuzid pace unategemea utauchukua mpira kama sio kucheza foul?
Mna hakika huyo ni coacher kweli?[emoji23]
2016 sheria ilibadilika, not red any moreYeye ndio alikuwa mtu wa mwisho.... Any foul ni umeme tu pale....
Kumfukuza kocha ndani ya siku moja inaonyesha udhaifu mkubwa kwenye mfumo wote uliotumika kumuajiri huyo kochaKuna kocha aliwahi fukuzwa ndani ya siku 1 tu....
Waarabu waliangalia training session moja tu wakaona hapa hamn kocha wakamfukuza ndani ya siku moja.
Yeye sio wa mwisho, soma hii sheria hapa: Last Man | A Football Term at Sports PunditYeye ndio alikuwa mtu wa mwisho.... Any foul ni umeme tu pale....
Sheria zipo ila marefa huwa wanashindwa kuinterpret.Yeye sio wa mwisho, soma hii sheria hapa: Last Man | A Football Term at Sports Pundit
Unaweza kusoma pia hapa kuhusu kumnyima mchezaji kufunga goli, hiyo red card haipo kabisa
Nasikia Auba hatakuwepo hata kama kocha kasema atakuwepo kwenye press conference. Sijui kuna nini kati ya Auba na GPMaandalizi ... wiki nyingine hii
Early Chelsea team news
Chelsea manager Graham Potter says both Raheem Sterling and Ben Chilwell will be involved in the matchday squad against Southampton on Saturday.
"It is positive. We're going to train later on this afternoon. Provided they come through that OK, they will be in the squad," said Potter.
Chelsea are still having to cope without injured quartet N'Golo Kante (thigh), Christian Pulisic (knee), Armando Broja (knee) and Edouard Mendy (finger).
Mateo Kovacic, Wesley Fofana and Denis Zakaria all recovered from injury to feature in the matchday squad against Dortmund and should be in contention.
Benoit Badiashile, Noni Madueke, Pierre-Emerick Aubameyang and David Fofana, who were all ineligible in midweek after being left out of the Champions League squad, are all available for selection on Saturday.
kaanza mazoezi, sasa hivi anakipiga na under 21 kujifua, soon tutamwona.Natamani KANTE arudi kikosini ili Enzo azidi kuonyesha ubunifu wake kuichezesha timu katika kushambulia
yes, kulikuwa na improvement kwenye game ya juzi, wacha tuone na ya leo.Leo tutamwangalia Potter, kama ameendelea kuiprove kikosi kiuchezaji baada ya ile performance na Dortmund.
Kule twitter mashabiki wanamsema vizuri Denis, wengine wakadiriki kumtaka kocha amuweke pivot pair na EnzoHuyu Zakaria awe kama back up ila sio tegemezi wa 1st eleven.
Huyo hadi March first week ndipo tutamuona uwanjanikaanza mazoezi, sasa hivi anakipiga na under 21 kujifua, soon tutamwona.
Ila na sisi tunatafsiri vibaya sheria. Mfano lastman foul wakati kipa yuko golini huwa haiapply kabisa. Last man foul inaaply pale kipa katoka golini na foul imefanyikia nje ya penalty box. Kwa sababu nje ya penalty box hakuna penalty mhusika anaweza kupewa red card kulingana na refa na waaaidizi wake watakavyotafsiri kama kweli kamnyima au laSheria zipo ila marefa huwa wanashindwa kuinterpret.