Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Huyo Jamaa kweli ameadimika sana sasa hivi, huwa namchukulia kawaida pamoja na kupishana na Mr Lembu maana hakuna Binadamu atayeridhisha kila Mtu bila kukosa upinzani.Hivi mnamkumbuka yule shabiki wenzetu hapa anaitwaga Enzo, wanapishanaga kauli na lembu.
Aisee yuko wapi ajitokeze kupongeza chama limemsajili wa jina Enzo.
Duuuh...! umenena kweli kabisa Chifu, na ni mwendo mdundo kuponda Kocha na Wachezaji [emoji1]Yule anaonekanaga team ikiwa inafanya vibaya tu
Mwamba alijua kutuheshimishaDrogba anasema
"Walipotuita Underdogs, tulicheza kama Mabingwa"
anafaa jamaa ana fighting spirit na badge utasema ndo kacheza kitambo af pia anawaivisha madogo apendi tufungwe kizembe qn ye pamoja na mke wake ukiwakata ni bluu tupu[emoji838]Kuna watu wengi wanampigia chapuo Silva aajiriwe baada ya kutundika madaluga yake ya mpira ili abakie hapa hapa Chelsea kama mmojawapo wa technical staff.
Naunga mkono mada
Nini maoni yako
Hata mimi niliwauliza tangu jana wakaishia kulike tu ombi langu [emoji849]Wandugu nani ana link ya live streaming?
Labda tukiwa wengi watatusikiaaHata mimi niliwauliza tangu jana wakaishia kulike tu ombi langu [emoji849]
Hata mimi niliwauliza tangu jana wakaishia kulike tu ombi langu [emoji849]
Summer tuchel alikosea sana, kutulutea sajili za short termChelsea website imetoa hayo majina
Bahati mbaya sana kwa Auba, amekuwa mzigo hata jitihada za kuichezea Chelsea haonyeshi. No fighting spirit in him. Atasuburi tu kiangazi aondoke
- Joao Felix,
- Enzo Fernandez and
- Mykhailo Mudryk.
Three new signings added to Chelsea’s Champions League squad
Following the closing of the January transfer window, the List A of players for the knockout stage of the 2022/23 Champions League has been submitted.www.chelseafc.com
Labda tukiwa wengi watatusikiaa