Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Man wanashindwa kutumia nafasi pale

Evra anakosa goli
 
Mbu karibu kaka. Afu hongera kwa ushindi wa jana ila leo tunanyonyoa manyoya
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimetokea kule "man united hatushikiki" kumetanda huzuni na majonzi. Kwa ridhaa yenu wadau naomba leo niwe huku kwenu.

Dk ya 34 nyie 1 wao 0
 
jesus! Oscar anafanya vitu vya hatari dah. Anatafuta mbinu za kuitwa kwend wc 2014 na brazil.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom