Changamoto iliyoko ni kati ya Badiashile na Felix lazima mmoja aachweMkuu ile backline we unaiona ikiwa salama pamoja na Fofana mchezaji aliyeprove ni injury prone halafu unamuacha Badiashile ambaye keshaprove kuwa imara kwenye ile nafasi? Si bora huyo Fofana ndio abaki ligi kuu halafu Badiashile ndio asajiliwe UEFA.
Japokua hakuna mchezaji ambaye ni injury free ila mi nachukua Badiashile badala ya Fofana
Huyu jamaa binafsi simkubali kabisa Bora hata chelsea waende kwa Edison Alvarez wa Ajax au CaicedoKiangazi kutakuwa na fainali kubwa kwa Declan Rice kati ya Arsenal na Chelsea
View attachment 2504338
Declan Rice ni natural DM mzuri ila option ya Caicedo itaendana na timu kwa sababu ana 21 tu wakati Rice ni 24 sasaHuyu jamaa binafsi simkubali kabisa Bora hata chelsea waende kwa Edison Alvarez wa Ajax au Caicedo
Rice naonaga ukabaji wake ni wakawaida Sana na sio haina ya midfielder ambaye anauwezo wa kudominate game same to Caicedo ila kwenye ukabaji kwa upande wangu naona Caicedoni mzuri zaidi kwenye kukaba Sana kuliko RiceDeclan Rice ni natural DM mzuri ila option ya Caicedo itaendana na timu kwa sababu ana 21 tu wakati Rice ni 24 sasa
Niwatofautishe kwenye maeneo matatu muhimu
Maoni yangu, generally wametofautiana padogo sana, Declan Rice ni mzuri kidogo overal kuliko Caicedo sababu kuu ni uzoefu. Naamini Caicedo anapoendela kucheza atakuja mpita mbali Declan Rice
- Kushambulia - Wote sio wazuri sana kwenye kushambulia
- Kuwachezesha wenzake - Wote wamefanana, ni wazuri kwenye kuwachezesha wenzao
- Kukaba - Declan Rice ni mzuri kidogo (kwa mbali) kwenye kukaba zaidi ya Caicedo
Pamoja na uziri wa mbali alionao Rice dhidi ya Caicedo bado Caicedo ni option nzuri kuliko Rice -IMO
Aanze Ziyech instead of sterlingLIne up ya leo vs Fulam
Formation 4-2-3-1
--------------------- Havertz ----------------------
Mudryk --------------- Mount --------------- Sterling
--------Enzo --------------------- Gallagher --------
Chilwell ------- Badiashile ------- Silva ------- James
--------------------- Kepa------------------------
Vipi kuhusu kibali Cha Enzo?Work Permit ya Andrey Santos
Kibali cha kufanya kazi nchini Uingereza kwa Andrey Santos ilikataliwa mara ya kwanza
Sasa Chelsea wameanza tena kuomba kibali kwa mara ya pili huku wakidhani kuwa performance nzuri ya Santos kwenye micuano ya U20 bara la Amerika ya Ksuini itawapa point nyingi ya Santos kukubaliwa kufanya kazi nchini Uingereza
Ili kibali kitolewe ni lazima baadhi ya maafisa muhimu wa serikali ya Uingereza waipe baraka kibali hicho. Mara ya mwisho kibali kilishindwa kupita kwa point moja tu
Sasa baada ya Santos kufunga goli nne kwenye mechi nne alizoechezea Brazil, Chelsea wanaamini hiyo inaweza kuwashawishi maafisa waliokataa ku-endorse kibali hicho safari hii watalainika