Hata kulipa yote inawezekana, Mkataba unaweza kuofset FFP conflict dangerInaweza ikawa installement ila ikapungua badala ya awamu 6 kama tunavyotaka tukakubaliana iwe chini ya hapo.
Changamoto iliyopo ni awamu tutakazo lipa na malipo ya kwanza hapo ndipo Rui Costa anapokataa,
According to Ben Jacob kuna kikao kingine kinafinya mida hii tusubir majib yatakayotoka
Haaland naye anaweza kuflop si binadamu?Daah yani bora tungekomaa na Haaland mkuu... ila mimi ninavyoona bora ubet na vichezaji vya kawaida kuliko hawa wa price tag
Je akija ndio akaongezeka zaid mbona huko huwazi,Daah yani bora tungekomaa na Haaland mkuu... ila mimi ninavyoona bora ubet na vichezaji vya kawaida kuliko hawa wa price tag
Potter anapenda wachezaji wa kiingereza san yani si angemuacha tu akaendaChelsea hawataki kumtoa Galagher, Galagher mwenyewe anataka kwenda Newcastle ambao wameshatoa ofer ya Eur 40+ M
Mkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.Mimi naona huyu Enzo ni wa kawaida na hata hatuma haja nae kwa bei io, je akija kuflop? Yule ata sio mkata umeme kivilee ata uuyu Gallagher akipata play time inaezekana akawa moto zaid yake mimi naona wanampaisha tu pale amna mchezaji wa 100m. Yule halali yake ni 50m ila dunia ya soka sa iv is so crazy.. wachezaji wengi wanakua over price.. iv kweli yule dogo ni wa kuwa MVP wa EPL? Tatizo scaut yetu inafuata majina... Waende na wao huko South America waokote mbrazili aliekomaa au la sivyo wamchukue huyu waliemnunua Santos.. Huyu Caecido nae ni wa kawaida sana ni mcheza wa 25m tusisahau tulikua na Makelele, Ramirez, Essien, Kante na hatukuwahi kuwasajili kwa hizi mbwembwe
Nilimpa mfano wa Fab, alikuwa naye wa kawiada tu lakini ufundi wake kwenye kupassi ndio ilimtoaMkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.
Galagher kapata playtime akiwa Palace na wote tumeona uwezo wake.
Galagher anaweza kuwa na work rate kubwa ila ufundi mguuni hana. Na hapo ndipo enzo anapowaacha mid wengi wa sasa,Uwezo wake kupiga pass either long ball au short pass, kuswitch play, kuvunja mistar ya ulinzi ya team pinzani, shooting etc,kuchukua mipira kutoka nyuma, etc
Kumcompare Galagher na Enzo nikama ni kumdisrespect Enzo.
Sababu za kuflop mchezaj ni nyingi sana, mifumo ikiwa imara na ya mchezaj ni ngumu sana mchezaj kuflop.Itakuaje akiflop Bro? Hawa wachezaji sometimes ni kamari haswa kwenye huu umri unamkumbuka Saul Niguez? Ifike kipind hawa watu wajue hawatuuzii Messi au Ronaldo au Zidane...
Nimekuelewa mkuuMkuu acha utani Galagher hata awe mzuri kiasi gani hawezi mzidi Enzo.
Galagher kapata playtime akiwa Palace na wote tumeona uwezo wake.
Galagher anaweza kuwa na work rate kubwa ila ufundi mguuni hana. Na hapo ndipo enzo anapowaacha mid wengi wa sasa,Uwezo wake kupiga pass either long ball au short pass, kuswitch play, kuvunja mistar ya ulinzi ya team pinzani, shooting etc,kuchukua mipira kutoka nyuma, etc
Kumcompare Galagher na Enzo nikama ni kumdisrespect Enzo.
Sijamkataa Lembu ila nalalamikia price tagSijwahi kuona mtu anayemkataa Enzo kwa mashabiki wa Chelsea au wa timu pinzani, niliwahi tu kukutana na shabiki mmoja anayesema ENzo ni mzuri sana ila pesa ni kubwa mno Waliobaki labda sio chini ya 90% wanataka hata RC yote ilipwe il jamaa aje darajani
Hiyo pesa ni ya tajiri sisi mashabiki tunahitaji raha tuSijamkataa Lembu ila nalalamikia price tag
Arteta anatumia formula ya man city ya 2017, Kama unaingalia Arsenal inavyocheza Ni copy ya city,ila Ni ile ya 2017,Daima nasemaga strategic back pass, kila mchezaji anafanya hiyo, it is also a defensive mechanism. Jorginho atazipiga hizo hadi muanze kumchukia. Tena unajua Arteta na PEP wana style tofauti, style ya PEP inahitaji back passes nyingi wakati Arteta ni direct football, hapa lazima Jorginho awe na few strategic back passes, sehemu kubwa ni through passes to break lines au long balls
Kwani deal limekufa?Hawa jamaa tutawakumbuka sana
View attachment 2501543
Kwenye uhalisia play style yao ni tofautiArteta anatumia formula ya man city ya 2017, Kama unaingalia Arsenal inavyocheza Ni copy ya city,ila Ni ile ya 2017,
Wote wanatumia Single Pivot , na ndio maana walimtaka Jorginho ,
Hata Partey Arsenal anacheza single pivot ana cover eneo kubwa , kwa Jorginho Sijui Kama anaweza kucheza Single , ila ataweza, Elneny tumemtumia hivo na aliweza, lokonga Ndiye kashindwa
Register anayepokea mipira kutoka back 4 Arteta na Pep wanapenda awe press resistant na uwezo wa kutopoteza pass , na awe vzr Ground Duel na Aerial Duel
Maana Arteta na yeye anacheza na Double 8/10 Kama Pep