Tunazungumzia msimu huu kuwa ninyi ni underdogs, ambayo msimu ya nyuma ndio ina depict hiyo underdog. Chelsea ikiperform vibaya for more than 3 years consecutively ndi ina make sense kuwaita underdog kwenye mwaka ambayo watafanya vizuri. You are not underdog if your not performing well after series of bad performances in the league. Likewise you are not underdog if you have been doing well in the league for a series of seasons consecutively. Saa nyingi una urge things as a child. Arsenal miaka zaidi ya 6 doing bad na mwaka huu mkaibuka underdog kwa sababu mnafanya vizuri, That is underdog definition derived.Kwahiyo umegoma kuweka msimamo? Kwani ni siri?
Kijana apewe nafasi mbona hall anachezaSantos wanamuona kwenye miaka miwili mitatu ijayo, ila naamini atapewa few minutes kwenye mechi kadhaa ili kuprove kwamba abaweza
Chelsea wangekubali kubadili wachezaji na timu zingine ingekua poa sana mf. Yule Gallagher unamtoa kwa mkopo tu wa 1yr + someoneLeo ni tarehe 27 bado siku nne lifungwe. Chelsea RB na Viungo vipi huko
Fabricio anasema Chelsea wanaongea na viungo wengi behind the scenes
Tusije tukaibuka tu na koroma
Hata mimi nahofia hicho kitu maana tumeshaanza kuhusishwa na kiungo onana wa everton serious nawametoa na bid kabisa nimeshukuru bid imekataliwaLeo ni tarehe 27 bado siku nne lifungwe. Chelsea RB na Viungo vipi huko
Fabricio anasema Chelsea wanaongea na viungo wengi behind the scenes
Tusije tukaibuka tu na koroma
Arsenal wanaandaa mil50 kwa OnanaHata mimi nahofia hicho kitu maana tumeshaanza kuhusishwa na kiungo onana wa everton serious nawametoa na bid kabisa nimeshukuru bid imekataliwa
Everton hamna kocha mule.Arsenal wanaandaa mil50 kwa Onana
Halafu anasifiwa kwa kuwa solid, tall na strong kwenye kutackle
Kwa umri wa miaka 21 anaweza kuimprove
Labda Chelsea na Arsenal wameona hiyo advantage
My worry asije kuwa kama Bakayoko
Angekuwa na hizo qualities why Everton wamestrugle sana msimu huu?
Naona kama tumeshindwa kupata plan A o plan B january hii basi ni heri twende na viungo hawa hawa mpk summer kuliko kuleta takataka zingineHata mimi nahofia hicho kitu maana tumeshaanza kuhusishwa na kiungo onana wa everton serious nawametoa na bid kabisa nimeshukuru bid imekataliwa