Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hao takataka akina Mount ,ziyech ,Hvertz na mburukenge wengine wanatakiwa wale bench ,mi nashangaa kwa nini wanaanzishwa ,walitakiwa kula bench mpaka mwisho wa msimu na wauzwe
Havertz na Ziyech so far wanacheza vizuri
 
Dah[emoji1787][emoji1787]ila wachezaji wa Chelsea kama wamelogwa wakifika langoni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…