juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Jorgninho vipi, mimi nimesema huyo kama punda, hatabadilika. Akiwa na mpira katika karibu na goli hadi arembe ajifanyue anajua sana, mpuuzi yule. GP asimpange ataendelea kutuzamishaHall aboreshe unamaliziaj wake chance za kufunga anapata
Galagher leo kwenye double pivot alikuwa poa,mda wote anapress anatafuta space
Ziyech leo alikuwa fresh kuanzia kushambulia hadi kwenye kujilinda.
Chalobah kama rb kacheza vizuri, japo kuna mapepe flan bado anayo.
Silva sina neno kwake, nusu ya wachezaj wetu wangekuwa wanacheza kamq yeye tusingekuwa hapa tulipo.
Badiashile yuko poa hana papara akiwa na mpira hata katika ukabaji wake, natumai ataendelea hivi hivi
Havertz kama angekuwa makini leo angetoka na Hat trick,
Wiki ijayo tuko dhid ya majogoo ya jiji(liverpool) tunahitaj kushinda ili tuendelee kupata kujiamini
Huyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.Marcus Thuram kwa Paundi mil 10 ni sawa na bure au kwa sababu July ataondoka bure
Yupo U21Hv yule kipa wa USA tuliyemsajili wakasema Januari ndio atakuja, vp imefikia wapi.?
Shida hatuna viungo, unasema Jorginho asipangwe nani apangwe sasa?Jorgninho vipi, mimi nimesema huyo kama punda, hatabadilika. Akiwa na mpira katika karibu na goli hadi arembe ajifanyue anajua sana, mpuuzi yule. GP asimpange ataendelea kutuzamisha
Silva huyo anatoka sayari nyingine, PSG sijui waliona nini wakamuachia
[emoji23][emoji23][emoji23]
Humjui vizuri, bora ufumbateHuyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.
Salamu zimfikie TAA....Hall aboreshe unamaliziaj wake chance za kufunga anapata
Galagher leo kwenye double pivot alikuwa poa,mda wote anapress anatafuta space
Ziyech leo alikuwa fresh kuanzia kushambulia hadi kwenye kujilinda.
Chalobah kama rb kacheza vizuri, japo kuna mapepe flan bado anayo.
Silva sina neno kwake, nusu ya wachezaj wetu wangekuwa wanacheza kamq yeye tusingekuwa hapa tulipo.
Badiashile yuko poa hana papara akiwa na mpira hata katika ukabaji wake, natumai ataendelea hivi hivi
Havertz kama angekuwa makini leo angetoka na Hat trick,
Wiki ijayo tuko dhid ya majogoo ya jiji(liverpool) tunahitaj kushinda ili tuendelee kupata kujiamini
Kwahy ameshafika darajani.?Yupo U21
Mumekutana na vileja nyieHall aboreshe unamaliziaj wake chance za kufunga anapata
Galagher leo kwenye double pivot alikuwa poa,mda wote anapress anatafuta space
Ziyech leo alikuwa fresh kuanzia kushambulia hadi kwenye kujilinda.
Chalobah kama rb kacheza vizuri, japo kuna mapepe flan bado anayo.
Silva sina neno kwake, nusu ya wachezaj wetu wangekuwa wanacheza kamq yeye tusingekuwa hapa tulipo.
Badiashile yuko poa hana papara akiwa na mpira hata katika ukabaji wake, natumai ataendelea hivi hivi
Havertz kama angekuwa makini leo angetoka na Hat trick,
Wiki ijayo tuko dhid ya majogoo ya jiji(liverpool) tunahitaj kushinda ili tuendelee kupata kujiamini
Dah wewe jamaa unatuzodoaMwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
- Uwezo wake wa kukimbia
- Kupiga chenga,
- kufunga na
- kuwapa assists wenzake
Tarajia kutoona tetesi ovyo ,Chelsea wamekuwa wahuni Sana kwenye usajiliSasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?
Bebeni wote ila Mudrky na Thuram mkiwa nao wote mtatusumbua SanaHatujamalizana na Thuram, Madueke, Enzo na Moises Caicedo
Sasa hivi tarajia ukimya ,halafu klabu zitawaundia zengwe tu ,wewe subiri uone , hawawezi kubali kila target zao mnaingiliaEndeleeni kutufanyia scouts bure. Mkikaribia kununua tunahijack tu
Wewe labda huangalii mpira, kamfatilie kuanzia Bundesliga ana goli 10+ ,Huyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.
Nimemshangaa huyo jamaa ,inaonesha hamjui vzr ThuramHumjui vizuri, bora ufumbate
Baada ya Nkunku yeye ndie anafuatia kwa ufungaji BundesligaHuyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.