Weka link hapa tutizame mechi ya Chelsea na Crystal Palace, wacha maneno mingi mingiMwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
- Uwezo wake wa kukimbia
- Kupiga chenga,
- kufunga na
- kuwapa assists wenzake
Usimalize sana maneno, tusubiri aanze kuupiga kwanza, mpira una mambo matatu: kipaji, juhudi na uwezo wa kuhandle pressure. Kijana ana jukumu la kuyashinda hayo yote kidhihirisha thamani yake hiyo.Mwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
- Uwezo wake wa kukimbia
- Kupiga chenga,
- kufunga na
- kuwapa assists wenzake
Sasa hivi uchunguzi mkubwa unaendelea kwenye idara ya matibabu na kampuni ya ushauri iliyoajiriwa na Chelsea kuwahudumia wachezaji. Matokeo ya huu uchunguzi utasababisha ofcourse overhaulling kubwa itakayosababisha Chelsea kuunda upya hiyo idara na inaweza kuja kuwa idara bora kabisa pale EPL itakayoweza kupunguza majeruhi hadi za hao akina Madueke, Kanet, Fofana, Chilwell na JamesShida ya madueke ni injury prone, km akiwa sawa mda wote tutakuwa tumepata mtu wa maana
Hatutakuja boss huu mwaka wenu na hua hatuna ugomvi mkubwa na nyie...sisi mwakani tutaonyesha na kuamua.Sasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?
Hatujamalizana na Thuram, Madueke, Enzo na Moises CaicedoSasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?
Endeleeni kutufanyia scouts bure. Mkikaribia kununua tunahijack tuSasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?