juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Haha mumchukue na ZiyechMvivu yule , Pullisic
lile dau walilokuja kumuonesha mwishoni Chelsea ndo limemtamnisha, miaka 7 mzee 200k kutoka kwenye 125k sio poaa
Aliyeweza kushinda alikua Raphinha tu kaenda barca kwa mapenzi thou chelsea walimuekeaa vitamu .
Kama Hazard, no. 10 au wide winger wa kushotoIla mara nyingi anatokea Pembeni (Lw)
Nkuku ni mali ya ChelseaKwani Nkunku tumeisha mchukua teyari?!
Hawa waondoke tu hizi failed businessUjio wa Mudryk
Naona kabisa kuna wachezaj hii january wanaondoka Pulisic n Ziyech nahisi kabisa mmojawpo akiondoka.
Labda akutane na changamoto nyingine, Ila Mudrky Ni mchezaji hatari Sana , anabezwa SABABU anatokea Ukraine ,ila Moto aliouwasha UCL ,sio POAepl hainaga mbambamba aje tumuone
Endeleeni kusema mchezaji ana mapenzi na Arsenal[emoji23][emoji23]Kuna wachezaji wengi sokon, Chelsea wametufanyia uhuni
Sisi tunaamini katika skauti yetu, tumekosa wachezaji wangapi na tujasajili wengine wakafanya vizuri
Tulizodolewa kumkosa buendia ,tukastick na Øde
Mifano Ni mingi
Kama unaweza rusha ngumilembu uhuni mliotufanyia haukubaliki
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama unaweza rusha ngumi
Pesa imebadili upepoEndeleeni kusema mchezaji ana mapenzi na Arsenal[emoji23][emoji23]
Alifika mbali kusema ballodorrr[emoji23] lakin epl ile ligi naiheshim mnooooLabda akutane na changamoto nyingine, Ila Mudrky Ni mchezaji hatari Sana , anabezwa SABABU anatokea Ukraine ,ila Moto aliouwasha UCL ,sio POA
Arsenal Ni wabahili Sana ,ila ukiona tulifika €95m ujue tuliona potential kubwa
Di Zerbi kamfundisha Mudrky anasema akiwa kwenye mazingira mazuri anamuona akibeba ballon dor,
Na kuna taarifa mnamnyatia caicedoNasikia Chelsea wanataka kuanza mchakato wa kumsajili kabisa Joao Felix kwa impression aliyoonyesha juzi kabla ya red card
Hata mimi naafiki tumnunue kabisa. Mchezaji mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi kama Felix na umri ule mdogo sio wa kumuacha kabisa
Tumecheleweshwa mno na akina Pulisic, Havertz na hao wengine wasioweza kutumia empty boxes kule mbele
Ngoja tuone mpka mwisho wa msim, performance yake itakuaje.Nasikia Chelsea wanataka kuanza mchakato wa kumsajili kabisa Joao Felix kwa impression aliyoonyesha juzi kabla ya red card
Hata mimi naafiki tumnunue kabisa. Mchezaji mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi kama Felix na umri ule mdogo sio wa kumuacha kabisa
Tumecheleweshwa mno na akina Pulisic, Havertz na hao wengine wasioweza kutumia empty boxes kule mbele
Yes, Tunahitaj viungo wawiliNa kuna taarifa mnamnyatia caicedo
Hata wafunge 10-0, sisi bado tuko kwenye ujenziPalace 2 Chelsea 0