OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Anakipiga nafasi gani? Maana sisi kwenye wings ndio tunateseka akiumia tu James au chilwelle basi tunatapata sanaNi Mudryk mkuu yah ataleta kitu kikubwa Sana kwanza anajua kudribble, mzuri kwenye pass za mwisho, ana kasi pia yupo aggressive sana
Silva hawezi kukaa benchi mpaka now huyo ndio beki wetu Bora na Ndio mchezaji mwenye kujituma zaidiMsimu wa 2023/24 Line Up 3-4-3
Mykhailo -------------- Thuram --------------Nkunku
Chilwell --------Enzo ----------Kante --------- James
----Madiashile ---------- Gvardiol --------- Fofana----
------------------- Kepa ------------------------
Reserve
- Gabriel Slonina
- Mendy
- Silva
- Koilibaly
- Lewis Hall
- Levi Colwill
- Cucurella
- Moises
- Kovacic
- Carney
- Madueke
- Sterling
- Mount
- Havertz
- Fofana
Anacheza kama Hazard anakuwa ni winger na sometimes anakuwa kama kiungo mshambuliajiAnakipiga nafasi gani? Maana sisi kwenye wings ndio tunateseka akiumia tu James au chilwelle basi tunatapata sana
Felix alisajiliwa kwa mkopoNasikia na Jao Felix tulimsajili je ni kwa mukopo au mazima? Na alipigwa red dah!?πyani ndio anaanza kazi na gundu la kadi. Sema nini tutafanya maajabu musimu ujao wacha tumalizane na hii puroject kwanza halafu makombe next season πππ
Tuone tutapata majibu mbona Mudryk anacheza kama kiungo mshambuliaji kwa jinsi nilivyomuona kwenye YouTube pamoja na mechi dhidi ya Real Madrid?Sera ya Roman ilikuwa timu ikivurunda anawatetea wachezaji na kocha kufukuzwa
Akina Boehly wao wamekuja na sera tofauti kabisa
Timu ikivurunda kocha anatetewa na wachezaji wasiocheza vizuri kuuzwa
Je hii sera itaboresha uchezaji na kuwafanya makocha waheshimiwe na wachezaji"
Acha tufurahi mkuu Uwanjani tupigwe na huku nje ya uwanjaaa.... Hapana aiseeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pongezi nyingi sana kwenu hakika mmeupiga mwingi sana kwa hio suprize mliyowafanyia Arsenyani.
Wide Atacker wote wanacheza nafasi zote za mbele isipokuwa striker. Mount ana ulegelege fulani na utaisha maana Mudryk yuko vizuri sana. Hata Sterling, Havertz watakomaIla juan david Mudryk anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji same to Mount so hapo itapunguza kiburi Cha Mount
Huyo hasa ni no. 10Anakipiga nafasi gani? Maana sisi kwenye wings ndio tunateseka akiumia tu James au chilwelle basi tunatapata sana
RotationSilva hawezi kukaa benchi mpaka now huyo ndio beki wetu Bora na Ndio mchezaji mwenye kujituma zaidi
Uyo Raphina bora hata akuja maana siyoni chochote alichofanya timu ya taifa brazilNasikia mumeenda Barca kupiga magoti mpewe flop wao Raphina. Huyo hana ushindani mumbebe ila msilipe zaidi ya 35m ili nao Barca wajute ku hijack target ya Chelsea
Mchezaji hapo mmepata , labda ashindwane na mifumo yenuHuyu Mudric ataleta kitu kipya kweli hapa darajani?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Toddy , kashafikisha β¬500m Sasa madirisha mawili ,Nasikia mumeenda Barca kupiga magoti mpewe flop wao Raphina. Huyo hana ushindani mumbebe ila msilipe zaidi ya 35m ili nao Barca wajute ku hijack target ya Chelsea
Mudrky labda mshindwe kumtumia ila Ukiona Hadi Arsenal Tulifika β¬95m , tulishamskaut SanaWide Atacker wote wanacheza nafasi zote za mbele isipokuwa striker. Mount ana ulegelege fulani na utaisha maana Mudryk yuko vizuri sana. Hata Sterling, Havertz watakoma
Ila mara nyingi anatokea Pembeni (Lw)Ila juan david Mudryk anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji same to Mount so hapo itapunguza kiburi Cha Mount
Summer mje kuchukua wakina Pulisic[emoji1787][emoji1787] maana kutakuwa na fagio[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Toddy , kashafikisha β¬500m Sasa madirisha mawili ,
Raphina simkubali end product yake, angalau Trossard huyu anajua
Mvivu yule , PullisicSummer mje kuchukua wakina Pulisic[emoji1787][emoji1787] maana kutakuwa na fagio