Hili litafanya kazi endapo tukiwa na kocha sahihi lakini si kwa huyu PotterChelsea considers squad clear-out in move to end era of player power at Stamford Bridge.
Chelsea owners understood to be prepared to move on under-performing players – and are ready to stand by the under pressure Graham Potter.
- @Matt_Law_DT
Tuwe wapole tu anayelipa mshahara ni tajiri, huyu anaweza kuja kuwaprove wote wrongHili litafanya kazi endapo tukiwa na kocha sahihi lakini si kwa huyu Potter
Kwa hali hii naona kabisa summer kuna watu wengi wanaondoka, auba,pulisic,ziyech, kai ni 50/50Chelsea’s next top attacking targets…
- Marcus Thuram (25)
- Noni Madueke (20)
Wametupotezea muda sanaKwa hali hii naona kabisa summer kuna watu wengi wanaondoka, auba,pulisic,ziyech, kai ni 50/50
Anacheza nafasi ipi?Chelsea wako katika mazungumzo na PSV juu ya usajil wa Noni Madueke nwenye thaman ya €30-35M.
We upo nanjilinji unaonyesha upo concerned n kuumia kuliko wenye timu[emoji1787]Redcard ya Felix itaigharimu Chelsea karibia £3m kumlipa wakati hatoi huduma kama ifuatavyo:
Mshahara- 250,000 x 4 =£1,000,000
Fee £9,000,000/5=. £1,800,000
Karibu tatu.
Ujinga mtupu, ni Chelsea tu inaweza kufanya ujinga wa aina hii
Labda ligi ya kwenye playstationMsimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Right WingerAnacheza nafasi ipi?
Wee umepitwa na newsKinachonisikitisha hakuna kauli yoyote kutoka kwa wamiliki Juu ya hali team inapitia. Hivyo wao wamekubaliana na hii hali.
Na hata kwenye hiyo PS itategemea nani anachezesha?Labda ligi ya kwenye playstation
Huu upepo wa matokeo mabaya ukishatulia tukawa sawa, hizi issue za usajil hamtozungumziaNyie jamaa mnasajili kila mchezaji