Mkuu nilikuwa nawalinganisha kwa dhamani sio position, kama tulivyomtaka Enzo kwa Mil 100 hata mchezaji standard ya Mount tunaweza pia kumtaka kwa hiyo hiyo kiasi kama tutahitaji kumsajiliEnzo na Mount ni 2 different player mkuu
Kiuchezaj mpk kwenye nafas wanazocheza ni wachezaj wawili tofauti.
Mount huwez sema unaunda team kumzunguka yeye hapana,
Ukitaka kuona angalia influence anayokuwa nay James katika games akiwepo na asipokuwepo halaf njo kwa mount influence yake akiwepo na asipokuewepo.
Me nahis ni wachezaj tunaowataka, ni ngumu sana january hii tim zao kuwaachiaHivi sisi wengine tunaona tofauti na kocha, technical team, mmiliki, bodi, scout kwamba tatizo kuu la Chelsea ni creative na defensive midfielders. Mbona hawaonyeshi hata dalili kuwa wanalishughulikia hilo tatizo. Tunakazana tu na forwads waje kuflop.
Unataka tufanyeje kama tuna mechi?Oya mna mechi leo msijisahaulishe chelvipondo fc [emoji23][emoji23]
Punguza makasiriko upate kubarikiwa kijana, ukiona Chelshit inakuletea depression unaweza kuachana nayo kwa muda ukaenda kushangilia hata netball, si unamuona ndugu yako OllaChuga Oc kipindi hiki haonekani humu, muda wote anashinda kwenye dressing table ila siku cheusii wakishinda lazima aje kutia fujo humu.Unataka tufanyeje kama tuna mechi?
Leo tunaua, jiandaeni kupata burudani leo. Always when it is blue it is refreshingPunguza makasiriko upate kubarikiwa kijana, ukiona Chelshit inakuletea depression unaweza kuachana nayo kwa muda ukaenda kushangilia hata netball, si unamuona ndugu yako OllaChuga Oc kipindi hiki haonekani humu, muda wote anashinda kwenye dressing table ila siku cheusii wakishinda lazima aje kutia fujo humu.
Si ili aendelee kumfunga vizuriPEP adai GP anstahili apewe muda aijenge timu
Akaingiza utani kuwa pale Barca haikumchukua misimu miwili kwa sababu alikuwepo Messi
Pale city pia hakuchukua misimu miwili alikuwepo nani?--Aguerro?? kidding
Makocha saa nyingine wanapigana vijembe kwenye vyombo vya habari
Mkuu hali ni mbayaPoleni kwa mihangaiko THE BLUES.
Bahari imechafuka
Kocha, wachezaji na mashabiki wanatapika.
Better kufanya risk, kuliko kuendelea kuwapa nafas wachezaj ambao viwango vyao viko chiniLeo natamani potter amrisk badiashile Kwa Sababu ya kimo chake atasaidia kwenye aerial duels akipambana na mitrovic ...lkn pia naona yupo vzuri kwenye forward long balls distribution...