juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
According to Mat Law moja kati ya reliable kweny habar za team yetuDream Team imekuwa kama ngonjera
Barca walimng'ang'ania Raphina wakajipiga kweli kweli sasa wanajuta kwa kufuata kwamba Raphina aliipenda Barca aliifuatilia tangu utototni na kwamba Barca ni dream, team yake.
Raphina kwenye mechi 21 aliazocheza tangu ahamie Barca miezi sita iliyopita kafunga goli 3 tu na assists 5. Sasa Barca wanamtembeza sokoni anunuliwe. Amlete Chelsea tumpe Mil 10 ndio size yake.
According to Jose Alvarez (via Managing Barca), Barcelona have decided they are open to offers for Raphinha as well as Ferran Torres and Ansu Fati. The news may not come as a surprise for many due to Barca's horrific financial situation.
Hazard naye Draem team yake ilikuwa Madrid, kawa flop wa karne. Sasa Arsenal wanaendelea na mazungumzo ili kumsajili Hazard kutoma Real Madrid.
Hawa wachezaji wa dream team ni wa kuwaogopa sana, mimi ningekuwa kocha ningewakwepa hawa watotot wasio na akili kabisa. Wananunuliwa kwa mahela mengi halafu wanakuja kuwa flops
Arsenal wawe macho na huyo Makhailo
Mykhailo naye dream team yake Arsenal, Chelsea tumetoa ofa ameikataa.
Ataenda kuwa flop wa karne
Nia ilikuwepo na ndio maana ya exploratoryAccording to Mat Law moja kati ya reliable kweny habar za team yetu View attachment 2476881
no 1 na 11 ni ndugu ?New Incoming
Outgoing ...?
- Wesley Fofana
- Cucurella
- Sterling
- Koulibaly
- Aubameyang
- Zakaria
- Slonina
- Chukwuemeka
- Badiashile
- Santos
- David Fofana
- Nkunku
- Felix
- Still loading... for creative RB, midfilder and defensive midfilder
Koulibaly,Auba hawa wote hawana future,New Incoming
Outgoing ...?
- Wesley Fofana
- Cucurella
- Sterling
- Koulibaly
- Aubameyang
- Zakaria
- Slonina
- Chukwuemeka
- Badiashile
- Santos
- David Fofana
- Felix
- Nkunku - coming in July 2023
- Raphael Leao - comming soon
- Gvardiol- comming soon
- Murcu Thuram- comming soon
- Moises- comming soon
- Declan Rice- comming soon
- Mat Cash au Pedro Porroau Josip Juranovic.- comming soon
- Still loading... for creative RB, midfilder and defensive midfilder
Mbona kama tunasajili timu nzima ya wachezaji 20+
Mudryk amewakataa Chelsea. Angekubali mngelipa hata €100m+.Nia ilikuwepo na ndio maana ya exploratory
Walitaka kujua kama Mykhailo angekuwa tayari kuja darajani
Pia walitaka kujua how serious Shkhtar walikuwa kwenye ada yao ya Paundi 88m
Kwa mchezaji anayetoka ligi ndogo ya Ukraine Chelsea isingeweza kulipa hata hii ada Arsenal wanalipa
Sana sana kama mchezaji alikuwa anakubali kuja darajani asingepewa zaidi ya paundi mil 60
Kwa hali ilivyo na kwa football ya sasa huyo RB hana cha kuogopa kwa sababu siku hizi ni rotation sio backup labda kama awe na kiwango cha chiniKoulibaly,Auba hawa wote hawana future,
Changamoto ya RB ni kumpata mtu aliyetayar anajua kabisa anaenda kuwa back up wa james hapo ndio kasheshe
Mount ni mzuri pamoja na ups and downs zake, as age goes by atakuwa stable kwenye hiyo nafasi ya wide winger au CAM. Tunaweza kwenda sokoni tukamnunua mchezaji wa kiwango cha chini tukapigwa Mil. 100+Kinachonichosha ni kuwa tunashindwa sajil wachezaj wa maana katika hiyo nafasi kwa sabab eti tuna mount.
Huyu dogo tunamtreat utasema ndio ingine ya team kumbe sio.
Yani huyu ndo adui wetu mkubwa chelseaKinachonichosha ni kuwa tunashindwa sajil wachezaj wa maana katika hiyo nafasi kwa sabab eti tuna mount.
Huyu dogo tunamtreat utasema ndio ingine ya team kumbe sio.
Enzo na Mount ni 2 different player mkuuMount ni mzuri pamoja na ups and downs zake, as age goes by atakuwa stable kwenye hiyo nafasi ya wide winger au CAM. Tunaweza kwenda sokoni tukamnunua mchezaji wa kiwango cha chini tukapigwa Mil. 100+
Mfano Enzo utakuja kuta hana tofauti kubwa na Mount, jina lake limepaa tu kwa sababu Argentina ilibeba kombe la WC. Mchezaji anayeweza kukupa double digits kwenye magoli na assists sio wa kumbeza hata kidogo
Hii game ngumu leo halaf tuko pale Craven Cottage, ukiangalia Fulham wanavyocheza unaona kabisa wanao uwezo wa kutusimamishaFulham tunajambo letu leo usiku na hizi MburuKenge za darajani.
Aleksandar Mitrovic leo anapiga hatrick halafu bado kina Joao Palhinha, Willian, Andreas Pereira, Carlos Vinicius, Tim Ream na Bobby De Cordova Reid wana magoli yao.
Msimu huu huyo Pota wenu asipowashusha daraja nimekaa paleeee.
Huyo MItrovic kwa mabeki kama akina Chalobah, Only God knowsHii game ngumu leo halaf tuko pale Craven Cottage, ukiangalia Fulham wanavyocheza unaona kabisa wanao uwezo wa kutusimamisha