juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Km tunajenga team mpe potter mda n toa takataka zote na sajil wachezaj watakaoendan na falsafa zake baada ya hapo ndio ahukumiweSio wote, shabiki akishakuwa na mzigo wa mawazo anataka chochote
Kwenye huu ujenzi TT ni moja wa kocha tusiyemuhitaji kabisa
Kocha ni mtu wa mwisho kumuhukum if umempa wachezaj wanaoendana na falsafa yake na mda umempa tofauti na hivyo tutaendelea kulalamikaShida ya Chelsea ni mjumuisho wa yote
Nakubali kuwa kumuondoa kocha pekee sio muwa arobaini
Kuna structure ya managementi ya timu imeoza
Kwa hiyo twende na kurekebisha mafiga matatu
- Uongozi na muundo wake
- Kocha
- Wachezaji
Matatizo ya hii team yanajulikana ila tunajificha kwenye kivul cha kocha, huwez sema makocha wote waliopita ni wabayaUmeisaka kabisa Mzee[emoji23]....Kiukweli mashabiki wa Chelsea ni WA kipekee duniani
Wanasajili hovyo bila mipango ,team inajikoteaArsenal hatuwez kujiingiza KWENYE Bidding war
Dau tuliloweka mezani Ni package ya €70m
Chelsea had Sasa hawezi kutuma ofa yoyote ,Sababu mchezaji ameshaweka bayana haendi Zaid ya Arsenal
Mwisho wa dirisha anakuja Vizuri kabisa kwa dau Hilo Hilo tuliloweka
Fofana kuna mdq ashfungua kabisa ila badala ya kumpitishia through ball. Mtu anampasia mtu mwingine kabisa.
Kunq chance unaona kabisa hii hapa ni counter ila cha ajabu tunafika mbele then tunapoza shambuliz kwa pass zisizokuwa na maana then tunarudisha mpira nyuma
Tuna team mbovu ambayo haijawah tokea.
Tomorrow the sun will rise again
Shida haijawah kuwa kocha. Hata akika Zidane,Enrique ila zile deadwood zikiendelea kuwepo tutawaona hawafai.
Mwanzon watamuimpress kocha baadae wanarudi kwenye hali zaoView attachment 2474317
TT hafai Chelsea hata kama GP ni hovyo, we need a better coach. Tumetumia gharama kubwa kwenye usajili lazima kocha aweze kuakisi hizo gharama
Katika makocha wote waliopita Chelsea Potter anaongoza kwa ubovu hakuna project itakayofanikiwa akiwepo uwezo wake mdogo hamna tofauti na Moyes@Bobbyray unasemaje now?
Hv we jamaa unaongea nini wewe? Moja ya jukumu la kocha Bora ni kustruggle katika mazingira magumu , kutafta matokeo ukiwa na Kikosi kibovu , lazima uonyeshe matumaini ya kuivusha timu japo Kwa kuchechemea , Potter Hana hyo chembe hata kidog , mechi 9 unafungwa 5 , draw 3 , unashinda 1, hamna kocha pale anatakiwa afukuzwe hata jioni ya Leo angalau kurescue morally ya wachezajiKocha ni mtu wa mwisho kumuhukum if umempa wachezaj wanaoendana na falsafa yake na mda umempa tofauti na hivyo tutaendelea kulalamika
Fabio capello NI muitalianoKatika makocha wote waliopita Chelsea Potter anaongoza kwa ubovu hakuna project itakayofanikiwa akiwepo uwezo wake mdogo hamna tofauti na Moyes
Hawa makocha wa kiingereza ni bure kabisa angalau fabio capello alifanikiwa kidogo kibaya zaidi tumepata tajiri asiye na uelewa na mambo ya mpira anakulupuka tu kufanya mahamuzi
Hivi wachezaji wa Chelsea ni wabaya kiasi cha kocha kushindwa kuwainua viwango vyao hata kidogo?Km tunajenga team mpe potter mda n toa takataka zote na sajil wachezaj watakaoendan na falsafa zake baada ya hapo ndio ahukumiwe
Imebaki historiaGoli la mwisho kumfunga city