Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Mkuu mbona unanikuu vibaya,mimi ni Spain kaka,ila naongea kiukweli England nazotambua zina rekodi ktk makombe yanayojulikana ni Man Utd na Liverpool,hizi zingine zimechipukia,hata kesho Bashir Tofa akinunua Swindon basi nayo washabiki itakuwa nao wengi,lakini ukizungumzia ktk wenye rekodi hawatambuliki.
Viva Chelsea! Tumekaa kileleni kwa muda!
jumapil ijayo tuna mechi nyepesi sn na vibonde man u. ngoja tuwapige tuendelee kujiweka pazuri. beki yao itakuwa na kazi ngum sn kumzuia hazard ambaye yupo form vibaya
Man Utd kwa big game wanakaza sn! Ingawa Ushindi ni lazima!
Aisee man utd tunaeza kumpiga ata vitano. Hiyo ndo siku sitaumia Mata asipopangwa. Apangwe game ya Man city labda. Hazard-Oscar-Willian; Torres.
Lazima wakaeeeeeee...
demokrasia hii kila m2 ana haki kubwabwaja awezalo domo halilipiwi kodi,usiogope.Hapakufai hapa! Cha zaidi utaambulia matus.i
toka karne hii yaani 2000,ni timu 2 Liverpool na Man Utd hazijawahi kufungwa na Barcelona Nou Camp,na Liverpool imeshashinda Nou Camp,kitu ambacho Chelsea haijawahi kushinda vs Barcelona Nou Camp,ila wao wameshafungwa na Barca pal Darajani,kwa taarifa yako.Mkuu unaniudhi jambo moja tu! husomi hoja zote nilizoandika. Nilishasema sisi tuna rekodi nzuri kuliko timu yoyote ya Uingereza tunapocheza na Barcelona. Hata kama wao walitufunga 5-1, isis tukawafunga 4-2(kwetu), mechi ya kwanza tulicheza kwao tukawafunga(2-1) kwa mechi mbili aggregate ikawa 6-3. Je, Man Utd, Liverpool au Arsenal zimewahi kumfanya hivyo Barcelona? soma kwanza kabla ya kujibu. Kuna wengine wataelimika kwa hoja zako siyo kubishana tuu bia sababu.
Chelsea imewahi kuifunga Barcelona pale Camp Nou goli 2-1 kisha tukaja kuwafunga goli 4-2 pale darajani, weka sawa rekodi zako mwana.toka karne hii yaani 2000,ni timu 2 Liverpool na Man Utd hazijawahi kufungwa na Barcelona Nou Camp,na Liverpool imeshashinda Nou Camp,kitu ambacho Chelsea haijawahi kushinda vs Barcelona Nou Camp,ila wao wameshafungwa na Barca pal Darajani,kwa taarifa yako.
toka karne hii yaani 2000,ni timu 2 Liverpool na Man Utd hazijawahi kufungwa na Barcelona Nou Camp,na Liverpool imeshashinda Nou Camp,kitu ambacho Chelsea haijawahi kushinda vs Barcelona Nou Camp,ila wao wameshafungwa na Barca pal Darajani,kwa taarifa yako.
acha uongo kaka nenda hapaChelsea imewahi kuifunga Barcelona pale Camp Nou goli 2-1 kisha tukaja kuwafunga goli 4-2 pale darajani, weka sawa rekodi zako mwana.
mnajidanganyaHoja ni kwamba sisi ni kiboko ya Barcelona
acha uongo kaka nenda hapa
2004
na pia cheki hapa usidanganye wa2 wenye rekodi
UEFA Champions League 2004/05 - History - Barcelona-Chelsea ? UEFA.com
na marudiano UEFA Champions League 2004/05 - History - Chelsea-Barcelona ? UEFA.com
nina ulakini na ushabiki wako chelsea Abramovich utakuwa.
mnajidanganya
Mtasema sana: Haihitaji akili nyingi kushabiki Man utd; kwa sababu ni bingwa mara 20 wa England; inahitaji uwe mtu wa mpira tena uwe na akili za kutosha kuwa shabiki wa Chelsea; Blue is the color, Chelsea is the name; Victory is our aim: Yes, We are the Champions:
...and we KTBFFH.
Walie tu..
Tatizo umezidi unazi, unazi wako unasababisha hadi ujaribu kudanganya watu hapa JFtimu zao zinayumba wanakuja kujifariji humu; hoja za maana hawaweki kelele tupu!
tutawajua sana mwaka huu; jumapili siyo mbali; Willian-Oscar-Hazard-Torres kule mbele! Mtakuja kuniambia; tutawaadhiri hawa watu vibaya-vibaya!
Tatizo umezidi unazi, unazi wako unasababisha hadi ujaribu kudanganya watu hapa JF
STATISTICS NEVER LIE BUT LIAR USE STATISTICS
Ukitaja mwaka 1999 nakumbuka treble (UEFA Champions League +English Premier League +FA Cup).Mourinho ni too defensive sio rahisi kumfunga Man United goli tano,nafikiri unakumbuka game ya kwanza.Statistics hazichezi uwanjani, lakini kumbuka Chelsea 5- 0 Man Utd the year 1999. Remember also Chelsea 5 - 4 Man Utd(Capitol one cup last season); muda si mrefu nilikuwa natazama ile gemu tuliyowachapa Man Utd(timu ya Belo) goli 5-0! Jumapili si mbali; tutaheshimiana vizuri sana tu.:hungry: