Kaiwezesha MAn U kuondoka ugenini na point zote 3 dk ya 93Joao Paulinha ile ndio mido sasa kazi chafu zote inafanya, sisi huku tuko na wauza sura,
Sisi huku kwetu Omar Hutchinson anakipaj ila hapat hata dakika 10, za kucheza, Ten Hag anampa mda garnacho na dogo unaona kabisa anakitu n sio muoga
Nilipohoji Ericksena ni bonge la mchezaji kwa nini Chelsea hawakumsajili nikabezwa hapa na mashabiki plastics wasiofuatilia wachezaji. Watu wakawaona akina Kovacic na Jorginho kuwa ndio mabonge ya viungo kuliko yule mgonjwa.Pass ya Ericksen kwa Garnacho, hatuna mchezaj yeyote anayeweza piga, zaid ya kupeleka mpira pembeni pale
Willian hachezi vizuri kwenye mkataba mrefu, ila mkataba wa mwaka mmoja mmoja atacheza vizuri ili kibarua kisionte ndago au tumemsahau Willian wetu nini?Naangalia mechi ya Fulham.
Willan mzee yuko na kiwango bora kuliko Pulisic + Ziyech.
Kuweka akiba ya manenoi ni vyema kama kuweka pesa zako benkiHii timu hata Baada ya world cup itahangaika Sana
Hakuna Cha majeruhi Wala Nini ,timu ni mbovu
Hao majeruhi mnamuhesabu kante ambaye hata akirudi hawez kucheza mech 2
Majeruhi Ni wawili James na chillisosi
Staki hili deal litokee, badala ya kupiga hatua nikama tutakuwa tunarudi tena nyuma
Mkuu unauhakika mkurugenz wa ufundi hayupo au unaongea tu hufatilii,CHELSEA FC NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Performance Advisor - Hayupo
3. Scouting team - Wapumbavu
4. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
7. Silva - Mzee (tegemezi)
8. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
9. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
10. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
11. Kante - Majeruhi Yasioisha
12. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
13. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
14. Pulisic - Mtumishi hewa
15. Ziyech - Tumeshindwana
16. Harvetz - Tunapotezeana muda
17. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Ndo nn umeandika hapa ??Ushauri wangu kwa wakereketwa wa Chelsea
- Tuache kuwa makocha bora kuliko GP
- Tuache kuwa optimistic kwenye kipindi hichi cha mpito - bado ujenzio unaendelea
- Tuache kuwakosoa hawa wachezaji hasa wenye umri mdogo, Havertz alitupa UEFA at 22 na bado anao muda wa kufikia peak yake ambayo italeta manufaa kwa Chelsea, Chalobah ndio kwanza anapata muda ili aje kuwa defender mzuri. Mimi naamini Chalobah is a good defender, wacha arudishe mipira nyuma hadi atakapojiamini. Rudiger alipokuja Chelsea alikuwa hata hawezi kutoa pasi mbali na kumrudishia kipa au CB mwenzako aliye kulia kwake. Ila alipokuja TT alibadilika sana akawa yeye ndie mwalimu na kila kitu kule nyuma
- Hawa wachezaji tulionao karibu wote ni wazuri, kilichokosekana hapo ni viungo vichache tu ili pilau inukie vizuri. Ongeza hapo Nkunku na DM mzuri. Ongeza hapo RB/RWB mzuri, wape muda akina Galagher, Broja, Lewis Hall, Fofana, Cucurela, Chunwuemeka, Omar. Utaona Chelsea ya kuotea mbali ikiwaka
- KOcha aongoze pressing kwenye style yake ya ufundishaji, wachezaji waache kucheza kimlenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiki kikombe tunakunywa hata Yesu hakunywa. Nyie kuku hamuwezi hizi show
na leo Ni Castro atatutambuwa.
Eti wapumbavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]CHELSEA FC NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Performance Advisor - Hayupo
3. Scouting team - Wapumbavu
4. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
7. Silva - Mzee (tegemezi)
8. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
9. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
10. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
11. Kante - Majeruhi Yasioisha
12. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
13. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
14. Pulisic - Mtumishi hewa
15. Ziyech - Tumeshindwana
16. Harvetz - Tunapotezeana muda
17. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Make nicheke kwanzaSterling,mount ndo wachezaji tegemezi wakuipa ubingwa world cup england
Achaneni na Trossard, dirisha dogo likifunguliwa tu Ronaldo anakuja kuwapambania ili msishuke daraja.trossard anauzwa p[aundi mil 20ila Chelsea akitaka kununua bei itaanzia mil 60+