Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kitu cha maana timu ilichofanya ni kupigana tu mwishoni mwa mechi. Mengine ni kama Fulham
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mchezaji wa New Castle alimsukuma Kai Havertz, ndiyomaana alipaniki na kulipiza kisasi lakini si kama alidhamiria kupigana.
 
Kitu cha maana timu ilichofanya ni kupigana tu mwishoni mwa mechi. Mengine ni kama Fulham
Nimeshindwa hata kuangalia game yote to be honest ,I was so pised off ,hivi kwanini wamegombana ? Maana zikamaliza kuangalia game
 
Hii shida haijaanza kwenye game hiyo since mwaka umeanza huu, ndio maana tukitanguliwa tu huwa ni game over
 
Newcastle kanipigia zile kenge za darajan ,Kula kichapo kinono Kama wamesimama[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…