Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Home na away mlimfunga city kwenye kombe gani mkuuTimu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Timu ina laana hii, ni bora mngekubali hata kuibadili jina ikaitwa KONGOLO FC mkaepukana na hizi fedheha.Tunapitia wakati Mgumu kweli kweli. Ila naamini tutarudi tukiwa imara.
Kwani hatujawahi kumfunga home and away hata kama sio epl ?Home na away mlimfunga city kwenye kombe gani mkuu
Oyaa si uhamie mancity. Kule hawana mashabikiNi vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league na baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ina hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama Chelsea
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa hivi hata mcheze na Namungo Fc hamtoboi, Harry Potter timu linaenda kumfia mikononi mwake.Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
Mara ya mwisho kumfunga man city ilikuwa final ya CL....TT goli la goi goi KaiTimu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
Kumbuka amekabidhiwa timu wakati dirisha la usajili lilishafungwa..Amgekabidhiwa kabla yah hapo basi mngekuwa na haki ya kumlaumu.Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
Mkuu leo naona umempumzisha jamaa yako ZekariaHivi tumeshapata Mkurugenzi wa ufundi?
Nahofia January tusije kufanya tena sajili za ovyo.
Poleni kwa kipigo cha jana, tujiandae kisaikolojia kula kipigo kingine cha Newcastle United Jumamosi.
Ukikutana na mtu ambaye haijui Chelsea halafu akasoma comment anaweza jamaa una point sana na unajua mpira. Ilasasa naanza kukubaliana na wengi humu wewe huna unachojua na sitaki kukuelimisha nakuacha kama ulivyoNi vigumu kurudi tukiwa imara tukiwa na average kocha mwenye mentality ya midtable timu, huwezi kuniambia timu ilio fika robo fainali ya European champions league na baadhi ya wachezaji wale wale mwaka jana, kwamba ina hitajika kujengwa upya, hapana hiyo timu ni ya kuendeleza tu, ukiwa na kocha sahihi, huyu jama wetu wasasa hana uwezo wa top timu kama Chelsea
Kwani ubora wa Liverpool kwasasa unaweza ukaulinganisha na Chelsea, Liverpool inacho kosa ni form tu, itaibuka atamaliza juu ya Arsenal, sisi blues hatuna form hatuna football philosophy hatuna tactical coach tupo tupo tuna motivational speaker, hatuna hopes za kumalizia top 4 mpaka Harry Potter aondolewe.Kumbuka amekabidhiwa timu wakati dirisha la usajili lilishafungwa..Amgekabidhiwa kabla yah hapo basi mngekuwa na haki ya kumlaumu.
Timu kufika nafasi ya 3 EPL,kucheza final Carabao na FA si sababu ya kumsingizia.
Hata Liverpool walikuwa nafasi ya 2 EPL na wakashinda Carabao na FA msimu uliopita.
Hicho ndicho fans tunapokosea na kuamini kuwa tunatim bora,Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
Msim ulioisha city katupiga game zote mbili home n away cha jabu tukiwa na total shot on target 1,Timu elimalizia kwa nafasi ya tatu katika epl mwaka jana ikacheza fainali mbili ya FA na Carbao ikafika robo fainali ya champions league....CFC ni kubwa kuliko Harry Potter huyu jama mentality yake ni timu ndogo zilio zoea kushindwa kila metchi, mwaka jana City tulimfunga home and a way.
Msimu wa nyuma yake tulimpiga home and away akiwa na pep wao, msimu jana TT hakutaka ku press tukacheza defensive ndo lilo tu cost tu katoka 0-1 match zote mbili TT aka kili kwamba alikosea kwa kuto mpress huyu City kwasbb uwezo wakumchapa xity tulikua nao.Msim ulioisha city katupiga game zote mbili home n away cha jabu tukiwa na total shot on target 1,
Kwahiyo Liverpool unawaona wazima sana?Kwani ubora wa Liverpool kwasasa unaweza ukaulinganisha na Chelsea, Liverpool inacho kosa ni form tu, itaibuka atamaliza juu ya Arsenal, sisi blues hatuna form hatuna football philosophy hatuna tactical coach tupo tupo tuna motivational speaker, hatuna hopes za kumalizia top 4 mpaka Harry Potter aondolewe.
Mara ya mwisho kumfunga man city ilikuwa final ya CL....TT goli la goi goi Kai
Huyo Jamaa ni mweupe sana kichwani.Ukikutana na mtu ambaye haijui Chelsea halafu akasoma comment anaweza jamaa una point sana na unajua mpira. Ilasasa naanza kukubaliana na wengi humu wewe huna unachojua na sitaki kukuelimisha nakuacha kama ulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app