Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I hate to say this but hili jukwaa lina vilaza wengi wakiongozwa na Covax

Nahisi lembu ndio mtu pekee anaeelewa mpira kwa mashabiki wa humu wa Chelsea.
 
Unamzungumzia huyu?au?
Acha masihara basi mkuu
 
Arteta aliikuta Arse8 ikiwa na Majeruhi wangapi haswa kwa potential players?
Alikuta timu mbovu Ndio maana kawaondoa karibu wote ,alipofika alisema anataka acheze 4-3-3 ,lakin haon hao wachezaji wakucheza huo mfumo , akaanza kutumia 3-4-3 ,Ni mfumo ulikuwa hautengenez nafasi kabisa za kufunga , ikafika mahali watu wakahoji Mbona timu haichez vzr akarudia kusema anataka kucheza 4-3-3 ,hivo akafanya usafi mkubwa ,had Sasa amefanya kwa 80% kuondoa asiowataka
 
Asipokuelewa na hapa basi si bure huyo Jamaa, labda atakuwa na kipaji cha ubishi.
People forget that Pep Guardiola spent £200m in his first summer in charge & proceeded to lose 4-2 at Leicester, battered 4-0 at Everton, failed to beat Celtic home & away in CL, lost to Monaco in the knockout rounds, ended up trophyless & 15 points off the summit in the league.
 
Arteta hajachukua kombe lolote?
 
Hawa mashabiki wanaumia roho kisa kufungwa na Arsenal, utadhani ni mara ya kwanza, Arsenal tumewafunga Chelsea tukiwa na kikosi average in term of performance kuliko hichi.

Tumewafunga wakiwa na Tuchel. Tumewafunga wakiwa na Kante na hao majeruhi wengine.

Covax anadai Arsenal ina luck na form ila siyo uwezo. Wengi mnachosahau ni kwamba Arsenal haijaanza kua nzuri msimu huu, imeanza kua nzuri msimu uliopita round ya pili. Kwahiyo msimu huu ulipoanza sisi ni tumeendelea tulipoishia.

So ni umefungwa na better side, huna haja ya kujifananisha. Kuandika Arteta hana kombe lolote ni uongo, na hii inafanya nione unapenda ubishi kiasi mpaka unatumia uongo kuwasilisha hoja.

Auba ni clinical finisher ila hakupi kingine chochote zaidi ya finishing, ni kama Haaland tu. Auba akigewa long ball itakayomfanya awe 1v1 na beki na yupo upande wa kushoto jua hamna kitu kitatokea. Na hilo tatizo kalianza akiwa Arsenal.

Kwa kikosi chenu mimi naona Kovacic na Mount wakae kati, Broja na Auba wakae mbele nyuma yao awe Sterling.
 
Na kutokana ya kwamba Arsenal tunaendeleza tulipoishia sisi hii WC inatufavor kuliko wengi tulvyofikiria. January tukisajili winger na mid hata 3 mimi nitaanza sema tunagombea ubingwa.

Niliwahi na hua ninaandika mara nyingi kwamba katika timu sizihofii hata niwe na kikosi kibovu vipi ni chelsea na united.
 
Hata Baku hukuhofia?
 
Asipokuelewa na hapa, usijisumbue tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…