Nitakujibu May, 28, 2023Naomba unijibu kiufupi tu. What are the achievements of arteta in three year with Arsenal????
Nitakujibu May, 28, 2023Kwa vigezo gani? mpira sio betting ni science toa hisia zako uweke hoja na reasoning kuonyesha kwamba Asernal ya mwaka hu ni nzuri kuliko spurs, iepuka kuchanganya current form, luck na uwezo, kwasasa Arsnal ina form na luck ila sio uwezo
We jamaa ni shabiki matokeo. Sterling kama unahisi ni mzuri kiasi hicho why mancity wamuuze. Pili Aaron Arsenal amekupa facts ya baadhi ya wachezaji mizigo by analysis we umemention tu ni wazuri without fact sasa niambie uzuri wa Zyech,Havertz, Auba, Sterling off the ball ni nini? Na kama unahisi hawana uoni kama wanasababisha mzigo kwa timu inapokuwa haina mpira. Pili hao wachezaji unao waona wazuri hivi wanaweza hata kumpiga chenga beki gani kwenye one on one wa maana, from no where unakurupuka kumrundikia lawama Kocha eti tunawachezaji wazuri. Inshort wachezaji wa uhakika ni Silva,Kante, James,Kovacic na Mount( huyu nimemuweka kwa sababu ya kuwa yupo more committed) the rest bado ni wakawaida sanaMchambuzi wa soka, Micah Richards akimzungumzia Raheem Sterling;
"Bado ninamhesabu Raheem Sterling kama mchezaji wa kiwango cha juu, lakini anaonekana ni kama amepotea."
"Ni kama amechanganyikiwa kwa mifumo na mbinu za Chelsea, ni kama hajui anatakiwa kufanya nini ndani ya Chelsea."
"Kujiunga na klabu kubwa kama Chelsea ni usajili sahihi kwake, kisha kubadilisha kwao kocha kukaleta mtikisiko ndani ya klabu."
#d1905_updatesView attachment 2410473
Arteta hakuwahi kuwa head coach before Arsenal but alikuwa kwenye Mazingira ya ushindani pale Man city na akauelewa mpira at elite level, Graham Potter ndio anajifunza mpira kwenye elite level unachezwaje, mpeni muda ana mengi ya kijifunza, kumbuka katoka Brighton, Mikel Arteta outclassed him so badly.Exactly, tena Potter anao uzoefu mkubwa sana kuliko Arteta. Arteta katoka City chini ya PEP kama assistant Arsenal ndio timu yake ya kwanza. Wamemvumilia misimu miwili, huu wa tatu anatoa matokea mazuri. Sisi mechi 2 tu mapofu ya watu yako nje nje. Nasema mechi mbili kwa sababu ni mechi ya Brighton na Arsenal ndio tumefungwa chini ya Potter. Tatizo watu wanatokwa na mapofu bila kuweka takwimu vizuri
Jibu hoja, embu acha kukimbia. huyo arsenal nafasi yake y saba. Potter kw uduanz wake wa kukumbatia baadhi y wachezaji ndio atamrudisha Arse88 top 5.Nitakujibu May, 28, 2023
Wewe inaonesha unapenda ubishani, ila tambua Arteta pale Arsenal ana miaka miwili na miez 10 na Siku 15, alikuta kikos Cha wachezaji wavivu , aliweza kuchukua FA CUP na CS akiwafunga Chelsea,mancity na Liverpool .,akitumia 3-4-3, Lakini Siku zote since day one alisema anahitaji kuja kucheza 4-3-3 ,Baada ya kuwaondoa wachezaji wasioendana na mfumo wake ,Naomba unijibu kiufupi tu. What are the achievements of arteta in three year with Arsenal????
Utofauti wa Arteta na Potter upo waziUkitumia arsenal kama kipimo cha ubora wa Chalsea hapo umepotea mkuu, aterta pale hajachukua kombe lolote na iko pale miaka mitatu sass, hiyo Arsanal hata kubakia top 4 bado mashaka yapo ligi ndo bado, anaweza kumalizia nafasi hiyo ya nne kama Chelsea ikiendelea kuporomoka, lakini kwa wanao ona na kujua mpira arsenal bado sana.
Sasa mnalinganishaje makocha ambao hawana chochoteArteta hakuwahi kuwa head coach before Arsenal but alikuwa kwenye Mazingira ya ushindani pale Man city na akauelewa mpira at elite level, Graham Potter ndio anajifunza mpira kwenye elite level unachezwaje, mpeni muda ana mengi ya kijifunza, kumbuka katoka Brighton, Mikel Arteta outclassed him so badly.
Huyo jamaa anafananisha Potter aliyekuta timu imetoka summer kuspend £300m na Ile timu ya kina Mustafi [emoji1787][emoji1787]Utofauti wa Arteta na Potter upo wazi
Ingawa alikuta the worst squad still he gave us the possible chance of winning, tukiwa na backline ya Mustafi, bellerin, Kolasinac & Sokratis aliwin FA cup mbele ya City & Chelsea.
Game yake ya tatu km kocha wa Arsenal Mikel Arteta ameshinda dhidi ya Man united at Emirates.
Graham potter na system anayotumia 4312 still haoneshi kuipa timu a possible chance of winning, Potter ana squad bora kuliko aliyorithi Mikel Arteta, kusema Chelsea inawachezaji wa hovyo ni jambo la kijinga, kocha apewe muda he is still learning.
Out points, ungefuatilia mjadala tangu mwanzo ungejibu kwa ubora zaidi kuliko ulivyojibu hapoArteta hakuwahi kuwa head coach before Arsenal but alikuwa kwenye Mazingira ya ushindani pale Man city na akauelewa mpira at elite level, Graham Potter ndio anajifunza mpira kwenye elite level unachezwaje, mpeni muda ana mengi ya kijifunza, kumbuka katoka Brighton, Mikel Arteta outclassed him so badly.
Sio kila hoja inajibiwa, na sio kila hoja inajibiwa kwa wakati huo.Sorry mmekaa kibishani zaidi hata kama ukweli uko waziJibu hoja, embu acha kukimbia. huyo arsenal nafasi yake y saba. Potter kw uduanz wake wa kukumbatia baadhi y wachezaji ndio atamrudisha Arse88 top 5.
Umeongea points tupu. Sometime tukiweka pembeni ushabiki uchwara na kuchambua soka inapendeza sana. Wachezaji wamechangia na kocha naye anachangia kwa wachezaji kuwa wavivu. Mchezaji akicheza hivyo pale city atasugua benchi hata kama ana jina kubwaSterling moja ya Sajiri za ovyo, Mtamuonea Bure Potter ,Chelsea haina winger za kutia njaa ,
Kuna wavivu wengi ,ila Wana majina makubwa , Kocha wenu asiwe na huruma ,
Kai , Auba, Sterling hawapress ,mchezaji pekee anaye press Chelsea huwa Ni mount ,ila kaingia ndani ya kundi la kina Kai , hivo Chelsea Ni rahisi Sana kuwashambulia maana ina wavivu Kama Wanne hivi,
Mnamsema Broja ila ana msaada kuliko Auba , Kama Auba alikuwa hapati mipira ,Mbona Broja kwa dakika 25 tu aligusa mipira mingi kuliko Auba ambaye akicheza dk 65.
Mpira wakisasa ukiangalia majina utamuona Kocha hafai, kumbe Kuna michezaji mivivu ,
Wachezaji wa mbele wa chelsea siwatofautishi Sana na waliokuwepo Arsenal kipind anafika Arteta walikuwa hawataki kupress na kukaba off the ball.
Pepe sawa na Ziyech
Auba Ndio huyu huyu
Ozil Kama Kai
Mpira wa Sasa unapokuwa na Aina ya wachezaji wa hivi , Ni rahisi kupoteza.
Potter anahitaji muda aondoe baadhi ya watu ,Ndio maana kapewa miaka mitano.
Anahitaji DM , Na CM , kante na kova shughuli imeisha
kwa hiyo GP na Arteta wote hawana makombe au tushabadili gia angani ?Wazee pambaneni msimu huu angalau mbebe Europa, ni aibu timu kubwa kama Arsenal inakosa UCL trophies.
Shida kubwa ya chelsea tunawaskia sana wachezaj kuliko makocha ndio maana baadhi ya wachezaj wanajiona wao ndio wakubwa.Sometime tukiweka pembeni ushabiki uchwara na kuchambua soka inapendeza sana. Wachezaji wamechangia na kocha naye anachangia kwa wachezaji kuwa wavivu. Mchezaji akicheza hivyo pale city atasugua benchi hata kkama ana jina kubwa