Sisi Arsenal ze gunners tunacheza EPL,CALABAO,FA,EUROPA,EMIRATES CUP, nabado tunaongoza ligi na wala hatulingi......Wachezaji wetu wana uchovu mkubwa wa kucheza mechi nyingi (EPL + UCL) mwezi huu.
Brighton wanatumia advantage ya uchovu wetu kutufunga.
Mmbwa mwenzetu unasemaje maana siku zote mmbwa humjua mmbwa mwenziye [emoji28]Mmebanduliwa umbwa nyie[emoji23]
Wapi OllaChuga Oc ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mburukenge zimeanza kuzibuka masikio na sasa hivi zinaanza kusikia kwa mbaaaaali.Pep akamatwe ashtakiwe kwa kutuuzia STERLING mbuzi kwenye gunia
Kwahiyo LB mzito mzito???? Mna ujinga mwingi sana,Naona kama Cucurela analazimishwa kucheza CB, ni mzito bora angebaki kwenye LB
Yupo kwenye jukwaa la urembo na vipodozi amekaa kwenye dressing table yake anapaka makeup [emoji168]Hivi ile kenge OllaChuga Oc bado kajificha jikoni kwenye mapishi kule??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hata wakirudisha sisi tushashinda 1st half[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]3-1....havertz anaweka kambani.
Remontada
Unaona madhara ya kutokuwepo Jorginho?Joginho hayupo, hii gem tunashinda si chini ya goli mbili.
Timu haina natural defensive midfielder. Tunakosa balance kwenye defence