Umeongea mkuu kama mtu wa mpiraHuyo Ndiye Potter ninayemjua, atawapa Nafas had vijana waliokuwa wanabaniwa,
Potter mzee wa mbinu ,mpira mzuri ,
Na huenda mazoezin Kepa yupo vizuri mguuni kuliko Mendy ,
Mendy atachezea mkeka Sana, Potter miumini wa GK mwenye skills mguuni, rejea Sanchez pale Brighton
Zakaria , Arthur melo pale Liverpool moja ya Sajiri za kitapeli Juve katika kupunguza Wage bills ,Huyo Zakaria mvivu ,Kama Ziyech kwa makocha kama Potter mtashangaa hawachez, halafu wachezaj wanaojituma mazoezin na mashabik mnawadharau wakapata namba
Potter ka suprise watu kikos kilichoshinda dhidi ya Milan kwa wolves kaja nacho tofaut ,
Hata Auba ajiangalie Sana
Hiyo ya muoga kutumia makinda ndio Moja ya sababu iliyomfanya afukuzwe chelseaNawapenda sana makocha wa hivi
Mpira mzuri ,watu wanalipa viingilio sio kuja kuona timu inajificha inavizia kaunta
Potter naona hatakawia kuleta mpira mzuri , mzoefu epl
Tuchel alishaishiwa mbinu ,bila Kante cova hapat matokeo, muoga kutumia makinda aliowasajiri
Yupo kwaajili ya mazoezi tu sidhani kama atacheza maana atarudi kwenye team yake ya Taifa kwaajili ya kombe la dunia
Nimogopa na kumuonea huruma sana tena nimeumia sana tena hasaPole sana Mkwepu, jirani yetu na bado kijana mdogo mpira umeishia pale. So sad
View attachment 2382672
Muhimu kamaliza msimu kule Marekani,Yupo kwaajili ya mazoezi tu sidhani kama atacheza maana atarudi kwenye team yake ya Taifa kwaajili ya kombe la dunia
Ukweli hakuna asiyejua uwezo wa Potter , ile timu Brighton ya kawaida tu lakin inacheza soka Safi, halafu Kuna timu kubwa zimetumia mabilon zinacheza ovyo ,Umeongea mkuu kama mtu wa mpira
Kabisa mkuu binafsi sikumbuki mechi ya mwisho tulioshinda goal zaidi ya mawili ni ipi chini ya TT?ukame wa magoal pamoja na soka lisiloridhisha build up yetu ya mashambulizi ilikuwa slow, pass nyingi zisizo na impact yoyote kwa Wapinzani.GP wengi wa mashabiki walikuwa hawajampokea vizuri lakini wanaanza kumuona yupo vizuri jamaa akipewa muda Chelsea itakuwa tishio Sana kwasababu kikosi chetu ni kizuri na tuna vijana wazuri ambao TT hakuwapa nafasi lakini naona kwa huyu kocha anawapa chance na anawadevelopUkweli hakuna asiyejua uwezo wa Potter , ile timu Brighton ya kawaida tu lakin inacheza soka Safi, halafu Kuna timu kubwa zimetumia mabilon zinacheza ovyo ,
Nimeangalia Chelsea vs Milan nikaanza kuona Potter aki unlock hata eneo la ushambuliaji ambao Tuchel lilimshinda .
Angalia kikos dhid ya wolves , hajaanza na no.9 kashinda goli 3 , Tuchel alishafikia hatua timu haifungi.
Mkuu inawezekana ikawa ni honeymoon tu hawa wachezaji wetu tunawajua sisi bana. Akijaga kocha mupya mzee wanajituma ni hatari. Ila wakishamuzoeya basi kila kitu kinafeli. Ngoja tuone kwa Potter itakuwaje.Kabisa mkuu binafsi sikumbuki mechi ya mwisho tulioshinda goal zaidi ya mawili ni ipi chini ya TT?ukame wa magoal pamoja na soka lisiloridhisha build up yetu ya mashambulizi ilikuwa slow, pass nyingi zisizo na impact yoyote kwa Wapinzani.GP wengi wa mashabiki walikuwa hawajampokea vizuri lakini wanaanza kumuona yupo vizuri jamaa akipewa muda Chelsea itakuwa tishio Sana kwasababu kikosi chetu ni kizuri na tuna vijana wazuri ambao TT hakuwapa nafasi lakini naona kwa huyu kocha anawapa chance na anawadevelop
Mendy ndio hana namba tena?Predicted Line up today vs AC Milan
3-4-2 -1
-------------------- Auba --------------------
---Sterling -------------------------- Mount ---
Chillwell ---- Kovacic ------ Cheek -------James
--Koulibaly --------- Silva---------Chalobah ---
-------------------- Kepa --------------------
AU
4-2-3-1
-------------------- Auba --------------------
Sterling ------------- Mount ----------- Galagher
--------- Kovacic -------------- Cheek -------
Cucurela -----Koulibaly ------ Silva------James
-------------------- Kepa --------------------
Mendy kwa Potter afungashe virago, Potter Ni modern coach ,hategemei ajilinde asubirie magic save za kipa,Mendy ndio hana namba tena?
Roy keane amna kitu hapo amewai kuwa kocha lakini walifukuza.Nakubaliana na Roy Keane
Roy Keane feels Chelsea head coach Graham Potter is a superior manager than Manchester United boss Erik ten Hag.
Yupo sahihi GP yupo vizuri zaidi kimbinu na soka safi la kuvutiaRoy keane amna kitu hapo amewai kuwa kocha lakini walifukuza.