Akiondokaga Jorgninho Chelsea hiyo hali itapungua sana kwa sababu yeye hana consistence na pia passing style yake sio rafiki na ubingwa na kwa umri wake hatutegemei atabadili style yake ya kucheza. Pia squad ikifanywa kuwa pana itaondoa wachezaji wengine kuchoka.Hahahaha[emoji23] na THE BLUES ikikata moto inakuwaga kituko mpaka Bournemouth wanatupiga 4 - 0 Stanford Bridge.
Mi nadhani Kocha atengeneze vijana wake wapya ambao watakuwa askari miavuli wake wa kumpambania vitani kila siku bila kuchoka wala usaliti.
Hawa wakina Pulisic, Ziyech, Mount, Kai, Azip, Jorgnho, Mendy sio wa kuamini sana hawakawii kuanza (Uvivu, uzembe na kuzira).
De Jonga huyo ni mfia Barcelona, amesema yuko tayari kurengetwa mshahara ili tu abaki. Bora hapo ungemweka Wilfred Ndidi wa LCFC au hiyo nafasi ajaribishwe Chalobah4-2-3-1
----------------------- Auba ----------------------
Leao ----------- Nkunku --------- Stealing
-------------- Rice ----------De Jong-----------
Chil --- Koulibaly -- Fofana --- James
SUB/ROTATION:- Mount, Broja, Cucurela, Kovacic, Chalobah, Chukwumeka, Gallagher, Thiago, Azip, Casadei, Kai, Cheek.
Mount assist 2. Kuna jamaa waliwasema sana hawa madogo Kai na Mount nadhani makocha ndio wanajua zaidi kuliko sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tupo makini kuchukue £50 kwa bayern mapema. Huyu mchezaji ni wakawaida mno na legelege kwa EPLKai ni takataka tu ata afunge goli ngapi.
Mpira wa uingereza sasa hv una demand sana matumizi ya nguvu,kasi na kukaba haijalishi ni kwa striker,midfielder au defender.Wote wanatakiwa wawe na hivyo vitu vitatu. Ziyech ni mchezaji wa slow sana na huwa si mzuri katika kukaba pindi timu inapokuwa haina mpira na physic yake pia ni shida ndo maana huwa anakata moto mapema uwanjani.Kwenye squad ya Chelsea wenye shida sasa hivi na Potter ni wachezaji wawili, Ziyech na Denis Zakaria
Na mimi namuona Potter kama kocha anayemsulu mtu direct kule kule mazoezini
Ukifanya uvivu kwenye mazoezi hupewi hata mechi ndogo
Tangu Ziyech aanze mechi ile na Soton wakati wa TT hakucheza tena ukiondoa na ile sub dk ya 81 dhidi ya RB Salzburg
Ziyech hachezi kwa kujituma, anadhani Chelsea ni kama timu yake ya Morocco amabyo anadeka halafu anapigiwa magoti au kubembelezwa, Ziyech hajashuka form kwa maoni yangu. Bado ni mchezaji mzuri anayeweza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya kule Ajax ila kiburi kitamuondoa kwenye soka mapema kabla hajastahafu
Ziyech ana kibri ile mbaya. Kwa timu kubwa na pana kama Chelsea atasota sana
Kama tu Lukaku tumemnunua 100m na tukamtoa mkopo kwa milioni 8 ndani ya msimu mmoja, yeye hajui kuwa tutamuondoa bure kama tulivyofanya kwa muopka mikate yule Ross Barkley?
Huyo Ndiye Potter ninayemjua, atawapa Nafas had vijana waliokuwa wanabaniwa,Kwenye squad ya Chelsea wenye shida sasa hivi na Potter ni wachezaji wawili, Ziyech na Denis Zakaria
Na mimi namuona Potter kama kocha anayemsulu mtu direct kule kule mazoezini
Ukifanya uvivu kwenye mazoezi hupewi hata mechi ndogo
Tangu Ziyech aanze mechi ile na Soton wakati wa TT hakucheza tena ukiondoa na ile sub dk ya 81 dhidi ya RB Salzburg
Ziyech hachezi kwa kujituma, anadhani Chelsea ni kama timu yake ya Morocco amabyo anadeka halafu anapigiwa magoti au kubembelezwa, Ziyech hajashuka form kwa maoni yangu. Bado ni mchezaji mzuri anayeweza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya kule Ajax ila kiburi kitamuondoa kwenye soka mapema kabla hajastahafu
Ziyech ana kibri ile mbaya. Kwa timu kubwa na pana kama Chelsea atasota sana
Kama tu Lukaku tumemnunua 100m na tukamtoa mkopo kwa milioni 8 ndani ya msimu mmoja, yeye hajui kuwa tutamuondoa bure kama tulivyofanya kwa muopka mikate yule Ross Barkley?
Nawapenda sana makocha wa hiviGraham potter ni kocha anayehusudu mpira wa pasi na kushambulia kwa sana. Naiona chelsea ikibadilika kimfumo.
Arsenal wapo vizuri sana msimu huu...sio wa kuwachukulia kirahisi kama unavyofikiria. Arteta amefanikiwa kuuhamisha mfumo wa pep guardiola na kuupeleka pale emirates!! So ili kuwakabili arsenal unatakiwa ucheze nayo mithili ya unavyocheza na man cityThe blues [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170] tumeimarika sasa tunawataka hao arsenyeto na nyumbu