Na wakifanya hivyo itakuwa advantage kwetu, lazima watapwaya tu na kuondoa team balanceWolves siwapendi kwasababu wapo very defensive na najua wamefanya homework yao vizuri juu ya Chelsea nawamejua magoal mengi tumepata kupitia upande wa James so watakachofanya nikuziba upande huo ili james haziwe na madhara au hawasimruhusu kupanda nini kinatakiwa ni kwamba tujitahidi tuwe Bora kwenye maeneo mengine tusitegemee tu kwa james pekee
Naona Auba na Chilwell naye kapumzishwa ila Mount yupo. Zakaria naona hata benchi hayupoVs Wolves 343
-------- PULISIC --- AUBA --- ZIYECH -------
CHIL ----- ZAKARIA-----JORG ------CHEEK
---- CUCU -- KOULIBALY -- CHALOBAH --
[emoji117] Mount, Thiago, James, Sterling & Kovacic (Wapumzike kwa ajili ya mechi na Milan Jumanne)
Kiufupi Chillwell ,Kante ,James na Kova ni Engines za timu ,nadhani hata msimu mlishuhudia walipopata majeraha tukatoka kwenye reli ya kugombania title ,Ule Moto ukakata ,hizi njemba zikiwa nzima bila majeraha na fomu zipo fresh , Chelsea in thrive , tofauti na hapo ni majangaKante akiwa mzima robo tatu ya mechi za UEFA, tumebeba tena UEFA
Kante na Kova wakiwa wazima robo tatu ya mechi za EPL, tunaweza beba na EPL
Hii ni fantasy yangu na naamini hivyo
Naona hii huenda ikawa 433, ngoja tuone jins tutakavyocheza,
Nachukuaga Google na huwa mara nyingi wanachapia sanaNaona hii huenda ikawa 433, ngoja tuone jins tutakavyocheza,
Mashak yangu yapo kwa Azplicueta. Huyu wa sasa anazid kudecline kadri siku zinavyozid kwenda ni tofaut na silva
Naona Potter anachukulia mazoezi serious na huyu jamaa labda bado hajamvutia kwenye mazoeziZakaria eating salary free.View attachment 2380749
Mimi naona hao wametangulizwa tu, hali isipoenda vizuri zile silaha tano lazima ziingie kabla ya 60Mins ambao ni
Ila pia sababu kubwa tunacheza na vibonde, Wolves tegemeo lao peke la kufunga goli ni counter na wamejaribu kama mara mbili hivi. Azpi yuko relaxed hana presure. Tukicheza na high pressing team, Azpi weka nje na pia wachezaji wengi wa leo weka nje. Jorginho hawezi high pressingAzp leo ameamua kweli. Tunaenda HT tukuwa tunaongoza 1-0. Goli limefungwa dk 45+