Kuwepo sio sababu ya kuwatumia. Mbona Chelsea ilikuwa na wachezaji wengi tu na wengine siku wakiondoka ndio tunajua kumbe na hawa walikuwa ni wachezaji wa Chelsea! Kuwapa waanze ni kuharibu morale ya wachezaji iliyokuwa imeshaanza kupanda kwa kuwaweka watu wasiojituma hasa Ziyech. Waingie kutokea benchi ili waprove kuwa wanaweza kuaminiwaPulisic na Ziyech huwataki wakati bado wapo kikosini?
Basi ungewaondoa dirisha la usajili, mbona ukawaacha kikosini?
Vip ni mzuri?Chelsea wako mbioni kumuappoint Christopher Viviel kuwa Mkurugenzi wa ufundi, hii ni baada ya Mr Viviel kuachishwa nafasi hiyo Na RB Liepzig juu ya kuwa na maono tofauti.
Huku mchakato wa kumuappoomt Mkurugenz wa michezo ukiwa unaendelea.
Siwez jua ila ndie mtu aliyekuwa anahusika na maswala yote ya usajil pale RB Liepzig, kuanzia mwaka 2020.Vip ni mzuri?
Ni jokes tu hizo za watu,Et new London cow boy ,yaani mkibadli jina la timu yenu kuwa cow boy nyie mtakuwa mang'ombe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Hivi kweli mnaweza kubadili kutoka Chelsea to new London cow boy ??
Haki nitacheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika, ilimradi isije ikawa ni nguvu za soda tu kwa wachezaji ili kumuaminisha Kocha kuwa wanauweza mpira kisawa sawa, kama mechi yake ya kwanza Joginho kucheza vizuri sana mbele ya Kocha Potter lakini baada ya hapo hajacheza vizuri tena ktk mechi zingine [emoji16]Nadhani tumeanza kuona tofauti ya TT na Potter
Formation ile ile lakini style ya uchezaji tofauti
Potter yeye kaja na ukatili mbele
Hata Chelsea walipokuwa hjawaposes sana kipindi cha kwanza lakini wakipeleka mpira mbele unaona ukatili ambao haukuwepo kwa TT
Tusubiri tuoneHakika, ilimradi isije ikawa ni nguvu za soda tu kwa wachezaji ili kumuaminisha Kocha kuwa wanauweza mpira kisawa sawa, kama mechi yake ya kwanza Joginho kucheza vizuri sana mbele ya Kocha Potter lakini baada ya hapo hajacheza vizuri tena ktk mechi zingine [emoji16]
Et new London cow boy ,yaani mkibadli jina la timu yenu kuwa cow boy nyie mtakuwa mang'ombe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Hivi kweli mnaweza kubadili kutoka Chelsea to new London cow boy ??
Haki nitacheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]