Alichukuliwa kwa dharura, ikitokea injuries za kupitiliza, ila pia kwa ajili ya sub na leo anaweza akapewa dakika chacheNaona tulimnunua ZAKARIA kama pambo.
Mwezi wa 2 huu bado anajitafuta kuwa ful fit
Naona hata nyie mlipigwa kiujanja ujanjaLembu man u mpira wake wa ujanja ujanja bila hata halland angepigwa vzr tu
Suppersport wameonyesha ni Premium League lakini kwenye scheduled programs ya TV, DSTV wanaonyesha Premium Legue channel itakuwa ni mechi ya Man CityMechi inaonyesha channel ipi hapa supersport ? Yaani Chelsea na AC Millan
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inabidi tuiue game mapema,343 ulinzi shirikishi, Kepa hana kazi ya kufanya, katikati kumetulia bila Jorginho, Cheek anaiweza kazi
Juzi tulibamizwa na juve 1-0CHELSEA v MILAN
This is the first time Chelsea and AC Milan have met in the Uefa Champions League since the 1999-2000 first group stage, with both games ending in draws, including a goalless draw at Stamford Bridge.
AC Milan’s only win over Chelsea was in February 1966 in the Inter-Cities Fairs Cup, winning 2-1 at the San Siro. That third round tie then went to a deciding game – a 1-1 draw – and Chelsea progressed via a coin toss.
Chelsea have only lost two of their 13 home European matches against Italian opponents (W8 D3), with both defeats coming in the Uefa Champions League: 1-2 v Lazio in March 2000 and 0-1 v Internazionale in March 2010.
tumeshauaInabidi tuiue game mapema,
L:eo nimeona ile full form ya Chilwell, halafu naona akicheza wing-back ndio anacheza vizuri kuliko akicheza LB
Pep aliliona mapemaSterling ni takataka nyingine
Aliona nini? mh watu kwa kuongea hamjambo kabisaPep aliliona mapema
Anaweza akawa takata ila kwa leo tu, Sterling uzuri wake ni kwenye kutengeneza nafasi na kufungaSterling ni takataka nyingine
Hao jamaa ndio wanatutia uvivu wengi kuchangia humuAliona nini? mh watu kwa kuongea hamjambo kabisa