Namna cheltako mmepata magufuli wenuSafisha safisha daraja bado inaendelea, mtaalamu mkuu wa kitengo cha utatibibu wa majeruhi kupitia kukandakanda (Massage), joto na mazoezi ya mwili (Physiotherapist) naye atimua mbio baada ya kufukuzwa kupitia Zoom baada ya kutumika kwa zaidi ya miaka 17
View attachment 2370465
Mechi ni 2 tu bado 4
Hata lile goli alilofunga Drogba mechi ya kwanza assist ilitoka kwa Ramirez mkuu,lile goli alilowafunga Barcelona nalirudiaga mara nyingiShujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi
Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya Ashley Cole
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
- Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
- Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakicheza 10 uwanjani
- Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
- Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga mwamba na kurudi uwanjani. Lost chance
- Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
View attachment 2371033
Yeah, alivaa shirt no. 7, nilipitiwa. Ilikuwa ni pasi ya kushtukiza, mabeki wa Barca hawakutegemeaHata lile goli alilofunga Drogba mechi ya kwanza assist ilitoka kwa Ramirez mkuu,lile goli alilowafunga Barcelona nalirudiaga mara nyingi
Chelsea hii mechi sjui mliroga dahShujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi
Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya kushtukiza kutoka kwa Ramires
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
- Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
- Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakichezaji 10 uwanjani
- Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
- Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga akagonga mwamba wa juu kulia na kurudi uwanjani. Lost chance
- Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
View attachment 2371033
Auba futa andika Broja.Line up vs Palace on ! Oct
Formation: 3-5-2
-----------Sterling ------------------ Auba -----------
Chillwell ---------Kovacic -------Mount ---------- Jorginho
Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana
-------------------------Kepa------------------------
Hizo middle zenu, Kova na huyo jojinoHii line up yako umemsahau mchezaji mmoja, umeweka 10
Twende na 4231
---------------------------- AUBA----------------------
STERLING --------- MOUNT ------------ KAI
--------- KOVACIC ------ JORGNHO --------
CUCU --- KOLABALY --SILVA ---JAMES
Nilimsahau James (Hii ya backline ya 4 akiwemo Jorginho haifai, labda tukiwa na DM mzuri)Hii line up yako umemsahau mchezaji mmoja, umeweka 10
Twende na 4231
---------------------------- AUBA----------------------
STERLING --------- MOUNT ------------ KAI
--------- KOVACIC ------ JORGNHO --------
CUCU --- KOLABALY --SILVA ---JAMES
Broja hajafikia stage ya kumuweka benchi Auba hadi aprove kwa dakika anazopewaAuba futa andika Broja.
Hivi hatuwezi kumconvert Reece James/Chillwell mmoja akacheza kama midfielder Maana naona hawa ndio wana skills za kufit kwenye gap la Kante tofauti na hawa viazi wengine tulionaoNilimsahau James (Hii ya backline ya 4 akiwemo Jorginho haifai, labda tukiwa na DM mzuri)
Formation: 3-5-2
-----------Sterling ------------------ Auba -----------
Chillwell ----Kovacic ----Mount ---- Jorginho ---- James
Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana
-------------------------Kepa------------------------
Kwanini wasimtumie Zakaria tumuoneCHALOBAH anaweza kucheza DM vizuri sana. Alishawahi kucheza hiyo position.
Tatizo lake hawezi kupiga pass kwa usahihi, anapoteza sana mipira anatumia chumba na sebule kutuliza mpira.
Chilwell na James wazuri sana wakicheza pembeni.
Tulifanya makosa sana kutosajili replacement ya Kante mapema. Ule usajili wa Saul kwa mkopo ulitakiwa uwe usajili wa DM mzuri.
Idadi za mechi anazocheza Kante kila siku zinaenda zikupungua kwa sababu ya majeruhi.
Kovacic mechi za October hatazimaliza tatizo lake la misuli litamweka nje wiki 2.
Tutabaki na Jorg, Kovacic na Zakaria
Au kama vipi Yule dogo Chukwuemeka na zakaria wapewe mikoba pale kwenye mildfield ili kupata uzoefu na kukomaa zaidi nCHALOBAH anaweza kucheza DM vizuri sana. Alishawahi kucheza hiyo position.
Tatizo lake hawezi kupiga pass kwa usahihi, anapoteza sana mipira anatumia chumba na sebule kutuliza mpira.
Chilwell na James wazuri sana wakicheza pembeni.
Tulifanya makosa sana kutosajili replacement ya Kante mapema. Ule usajili wa Saul kwa mkopo ulitakiwa uwe usajili wa DM mzuri.
Idadi za mechi anazocheza Kante kila siku zinaenda zikupungua kwa sababu ya majeruhi.
Kovacic mechi za October hatazimaliza tatizo lake la misuli litamweka nje wiki 2.
Tutabaki na Jorg, Kovacic na Zakaria
Na Mimi ndio nashangaaa utashtukia anapigwa benchi mwanzo mwisho ,nini Maana ya kumsajili ? Au tunasajili bench warmersKwanini wasimtumie Zakaria tumuone
Yaan ndani ya mwezi mmoja tunacheza mechi nane ina maana kila wiki mechi mbili. Hapa ndio utaelewa nini maana ya upana wa kikosi
Hilo goli ambalo Ramires alimfunga Valdes kwa kuuchop mpira jamaa kalichorea tattoo kabisaShujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi
Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya kushtukiza kutoka kwa Ramires
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
- Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
- Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakichezaji 10 uwanjani
- Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
- Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga akagonga mwamba wa juu kulia na kurudi uwanjani. Lost chance
- Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
View attachment 2371033
Sikumbuki nilisoma wapi ila katika pitapita zangu mitandaoni niliona kuna mahali wameandika katika hizi mechi za kirafiki Potter kamchezesha Chalobah kama kiungo mkabaji na amefanya nae mazungumzo kuona kama anaweza kumbadilisha position.Hivi hatuwezi kumconvert Reece James/Chillwell mmoja akacheza kama midfielder Maana naona hawa ndio wana skills za kufit kwenye gap la Kante tofauti na hawa viazi wengine tulionao
Pale Real Madrid kuna daktari alimsaidia Hazard kuwa injury free sasa kama nasisi tunampata mtu kama huyo naamini hawa kina Kante, Kovacic zitabaki kuwa injury za kawaida sio zile za kuwaweka nje mieziHapo ndipo tunapofeli sasa kikosi chetu kina upana wa QUANTITY na sio QUALITY.
Na hizi mechi mfulilizo KOVACIC hataweza kuzihimili lazima misuli yake iwake moto kama kawaida. Atakaa nje wiki 2 kuiguza.
KANTE atarudi uwanjani kumbeba Jorginho mgongoni, baada ya Mechi mbili tatu ataumia tena atarudi kitandani.
JAMES atacheza mfulilizo bila msaada ataumia atakaa nje.