Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa ana jina kama Aina ya Ndege ya kivita au Silaha ya kupiga masafa marefu....
BTW; Mentor hivi Peasant yupo wapi?? Kapotea sana jukwaani.

Majukumu ya kujenga nchi mkuu...wala usidhan ni suala la kufungwa na wale watoto.
 
Hali ni Nzuri wapenzi Wa Chelsea mpaka sass wageni wamepotana vibaya! Ila Kwa wenzetu Kule washika bunduki Maji ya shingo!
 
Naam! Hali ni Nzuri Darajani! Chelsea wanatawala Mpira na kutafuta magori ya mapema!
 
Ramireeeeeeeeessss!
2-1 Chelsea

Mkuu kuna avatar mpya hapa. Hahahahaaha

attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom