juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sidhan kama tunakikosi kidhur cha kwenda toe to toe na city .Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
Naona baada ya kipigo jana chelsea mmeamua kumfukuza kocha wenu. Tuchel has saked by chelsea
Ili ufanikiwe ondoa wachezaj ambao huwatak haraka kabla hawasambaza sumu kwa wengine.Kwa hii comment yako Lampard ali deserve more time kwa sababu aliikuta timu ina ban na bado akafanya vizuri kabla ya kuanza kufanya vibaya.
Me nimmoja kati ya watu waliokuwa wanataka tuchel aendelee kuwepo, sijawah sema afukuzweWabongo sijui huwa tunataka nini?
Lampard alikua mbovu hakushahili hata kuwa mfua jezi,tungeendelea nae tungeshuka daraja, kama huamini angalia Everton atakapowapeleka.Kwa hii comment yako Lampard ali deserve more time kwa sababu aliikuta timu ina ban na bado akafanya vizuri kabla ya kuanza kufanya vibaya.
[emoji16][emoji16][emoji16] naona mambo yametiki bado hayo mengine niliwaambia tuchel amalizi msimu mkanishambulia sijui nyumbu wewe kikowapi.Prediction yangu kwa chelsea 2022/23
Tuche amalizi msimu mzunguko wa kwanza tu anapoteza kazi ndo hatakuwa kocha wa kwanza kupoteza kazi pale England.
Nafasi =5/6
Uefa = 16 bora
FA = semi final
Carabao cup = final lost 2_1
Top score = kai havertz 5 goals
Top asisst = stering 3
Mendy Clean sheet = 6
Kila msimu lazima timu kubwa moja ichemshe vibaya sana.
Kwa upepo naouona lile jini la manure lililo tutesa msimu ulio pita naona kila dalili linakuja kwenu mjiandae tu kisaikolojia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2312981
Kuna habar naona twitter zinasema tuchel alikuwa ashapoteza dressing room, due to kuzozana na wachezaj, na style ya uchezajiLampard alikua mbovu hakushahili hata kuwa mfua jezi,tungeendelea nae tungeshuka daraja, kama huamini angalia Everton atakapowapeleka.
TT kuna kitu kidogo sana pale katikati alikua anakikosea, na pia kukumbatia baadhi y wachezaji.
Hawa wamejjchanganya sana kumfukuza TT aiseeChelsea imekosea sana kumfukuza kazi TT, yaani game 6 tu anafukuzwa kocha?
Nyie chelsea fans mnakumbuka TT timu aliyoirithi kutoka kwa Lampald
Ulijitahidi sana kumtetea TT lakini nilikwambia hakuna tajiri atayekubali kumwaga pesa halafu timu ifanye vibayaTuchel kafukuzwa, tunarudi kwenye cycle ile ile, tutaplay good mpk mwisho mwa msim then tutarudi kwenye default.
Inavyoonekana alikuwa kapoteza dressing room, ila ni weird decision tuliyoifanya kumfukuza nadhan mwez huu tungempa tuone hali ingekuwaje.
Seem boehly-clearlake hawakutaka kusubir mpk hali itakapokuwa mbaya
Yeah tuchel nikocha nae mkubal + ukiangalia kwa sasa hakuna kocha mzuri aliyefree, wengi wanahitaj project ya mda mrefu na si wakukupa matokeo ya haraka haraka o gurantee ya kushinda knockout gamesUlijitahidi sana kumtetea TT lakini nilikwambia hakuna tajiri atayekubali kumwaga pesa halafu timu ifanye vibaya
TT alishachemka kitambo tu hatimaye siku yake imewadia
Hawa matajiri sio wapumbavu kama unavyodhani hili swala walikuwa wanaliangalia kwa mapana zaidi ya unavyodhaniKosa jingine boehly-clearlake wanafanya, huwez kufukuza kocha whilehuna DOF,
Kulikuwa na lengo gani la kuspend 250M kwenye transfer uje umfukuze kocha siku 6 zijazo baada ya dirisha kufungwa.Vipi kuhus usajili wa Auba ambae amekuja coz ya hitaji lq kocha??
Kuna vitu huenda tutakuwa atuvijui nyuma ya pazia,
If ni dressing room kupoteza, hii shida itaendelea kutafuna makocha wengi mpk hapo uongozi utakapoacha kuwaskiliza wachezaj,
Hii itaendelea kutokea hata aje nani
Tumefukuza kocha bila kuwa na plan ya nani atakaemrith
Kocha gani mzuri ambae yuko free kwa sasa?
Enrique n Flick hawawezi acha majukum yao ya tim za taifa kwa sasa isitoshe world cup ipo karibu,
Pochetino hapana,
Zidane????
Graham Potter ni kocha mzuri ila nikocha anaehitaji mda na project inayoeleweka.
No Coach
No DOF
Circus continue.............